http://wepesimedia.blogspot.com/p/blog-page.html

post-feature-image

MBOWE:Kufukuza waandishi wa habari wakifanya kazi yao si sawa


TANGAZA NASISI KWA BEI NAFUU NA UPATE MATOKEO MAZURI KATIKA BIASHARA YAKO.

Mwanyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe amelitaka jeshi la polisi nchini kutowafunga midomo na kusema ki...

Breaking News: Watu Watano Wafariki Dunia Mkoani Arusha Baada ya Kuangukiwa na Mti
‘Tumebaki nusu bwenini’
Mbunge Godbless Lema alaani ubaguzi aliofanyiwa msibani Arusha


Mwanyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe amelitaka jeshi la polisi nchini kutowafunga midomo na kusema kitendo cha jeshi hilo kuwafukuza waandishi wa habari wakati wakifanya kazi yao si sawa.


Freeman Mbowe amesema hayo leo Alhamisi baada ya jeshi la polisi kuwafukuza waandishi wa habari ambao walikuwa wakifuatilia tukio la kuwasili kwa Mhe. Edward Lowassa Makao Makuu ya Polisi ambapo leo alikwenda kuitika wito wa jeshi hilo baada ya juzi kutoa maelezo na kutakiwa kufika leo tena.


Mhe Edward Lowassa alipata wito kutoka kwa Mkurugenzi wa Makosa ya Jinai (DCI) kumtaka kufika Makao Makuu ya Jeshi la Polisi siku ya Jumanne tarehe 27 kufuatia kauli zake alizozitoa ambazo zinasemakana kuwa ni uchohezi


Lowassa juzi alifika Makao Makuu ya Jeshi la Polisi na kutoa maelezo yake kwa muda wa masaa manne, kisha baada ya hapo alijidhamini mwenyewe na kutakiwa kufika siku ya Alhamisi ya tarehe 29 Julai 2017 ambapo amefika na kuambiwa uchunguzi wa jambo lake haujakamilika hivyo arudi tena tarehe 13 Julai 2017.



==>Msikilize hapo chini akiongea 

Name

BIASHARA NA UCHUMI BREAKING NEWS BURUDANI ENGLISH NEWS GOSIIP GOSPEL HABARI HABARI PICHA MAGAZETI MAKALA MATUKIO MICHEZO MUSIC VIDEO WAZO LANGU
false
ltr
item
WEPESI MEDIA : MBOWE:Kufukuza waandishi wa habari wakifanya kazi yao si sawa
MBOWE:Kufukuza waandishi wa habari wakifanya kazi yao si sawa
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgdg5_1Fjn6F-kmK2vIJhNyPS0aNsoEt0fBXUAKXAJFAUUjuhvJdp0Q4aFGI2ngwy_60jI9mnFmKdMLAmcES3UbNrhputwGOJliVUgS6kRAZjKSGYKwLXmlJjaPk-4iDKOpczxGfIYygn8b/s640/3.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgdg5_1Fjn6F-kmK2vIJhNyPS0aNsoEt0fBXUAKXAJFAUUjuhvJdp0Q4aFGI2ngwy_60jI9mnFmKdMLAmcES3UbNrhputwGOJliVUgS6kRAZjKSGYKwLXmlJjaPk-4iDKOpczxGfIYygn8b/s72-c/3.jpg
WEPESI MEDIA
https://wepesimedia.blogspot.com/2017/06/mbowekufukuza-waandishi-wa-habari.html
https://wepesimedia.blogspot.com/
http://wepesimedia.blogspot.com/
http://wepesimedia.blogspot.com/2017/06/mbowekufukuza-waandishi-wa-habari.html
true
925270315725722404
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All

USIPITWE NA HIZI HAPA CHINI LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy