http://wepesimedia.blogspot.com/p/blog-page.html

post-feature-image

Shule ambayo wanafunzi wake wamefariki yafungwa


TANGAZA NASISI KWA BEI NAFUU NA UPATE MATOKEO MAZURI KATIKA BIASHARA YAKO.

Shule ya Lucky Vicent imefungwa kwa siku saba kufuatia vifo vya wanafunzi wake 32 vilivyotokea kwenye ajali ya gari jana Karatu. Kutok...

SIMANZI!! MTOTO AFARIKI BAADA YA KUGONGWA NA GARI KATIKA MAENEO YA MAEGESHO YA MAGARI KANISA KATOLIKI KAGERA.
Mihogo yenye sumu yafyeka uhai wa mtoto Dar
Mtoto auawa kinyama, ang'olewa Sehemu za Siri na Macho

Shule ya Lucky Vicent imefungwa kwa siku saba kufuatia vifo vya wanafunzi wake 32 vilivyotokea kwenye ajali ya gari jana Karatu.


Kutokana na ajali hiyo Mbunge wa Arusha Mjini, Godbless Lema na wabunge wengine wa Chadema wamefika shuleni hapo kutoa pole.


Lema kwa niaba wabunge ameeleza kusikitishwa na msiba huu na amewapa pole wafiwa lakini akatoa angalizo kusiingizwe siasa katika msiba huu mkubwa.


Meya wa jiji la Arusha Kalist Lazaro ameeleza kuwa Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu, Waziri wa Tamisemi, George Simbachawene na Waziri wa Elimu, Profesa Joyce Ndalichako watafika jioni kuzungumza na wafiwa.


Kesho Makamu wa Rais Samia Suluhu kwa niaba ya Rais John Magufuli ataongoza kazi kuaga miili ya wanafunzi hao Uwanja wa Sheikh Amri Abeid.

Mkuu wa shule hiyo, Ephraem Jackson amesema hadi sasa vifo ni 36 na wanafunzi wawili bado wamelazwa Hospitali ya Mkoa ya Mount Meru. Wanafunzi hao ni Sadiely Ismail na Wilson Tarimo

Name

BIASHARA NA UCHUMI BREAKING NEWS BURUDANI ENGLISH NEWS GOSIIP GOSPEL HABARI HABARI PICHA MAGAZETI MAKALA MATUKIO MICHEZO MUSIC VIDEO WAZO LANGU
false
ltr
item
WEPESI MEDIA : Shule ambayo wanafunzi wake wamefariki yafungwa
Shule ambayo wanafunzi wake wamefariki yafungwa
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgMOt8HxjnqcnZCTwpryVVdHIwbyotUUBueTwizm7SyNjCEz4XwujUMGvOgygQFbWPw500UBMWsJkpToPzbDREQUujVMRdUfhB-dp91RoM1_eqoLE2yYGVIZguudrlPamqIS2yx43Hx_4_o/s1600/1.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgMOt8HxjnqcnZCTwpryVVdHIwbyotUUBueTwizm7SyNjCEz4XwujUMGvOgygQFbWPw500UBMWsJkpToPzbDREQUujVMRdUfhB-dp91RoM1_eqoLE2yYGVIZguudrlPamqIS2yx43Hx_4_o/s72-c/1.jpg
WEPESI MEDIA
https://wepesimedia.blogspot.com/2017/05/shule-ambayo-wanafunzi-wake-wamefariki.html
https://wepesimedia.blogspot.com/
http://wepesimedia.blogspot.com/
http://wepesimedia.blogspot.com/2017/05/shule-ambayo-wanafunzi-wake-wamefariki.html
true
925270315725722404
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All

USIPITWE NA HIZI HAPA CHINI LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy