Mpangilio wa kuandika andiko la mradi [Format = Framework for Proposal writing] Wasifu na maelezo ya awali ya kuujua mradi husika Taarifa...
Mpangilio wa kuandika andiko la mradi [Format = Framework for Proposal writing]
Wasifu na maelezo ya awali ya kuujua mradi husika
Taarifa za chanzo cha mradi na sababu muhimu za kuanzishwa mradi
Maelezo ya kihistoria ya mradi na maelezo ya mradi mzima kila kitu
Malengo, Madhumini, Shughuli na majukumu yote kwa mpangilio juu ya mradi
Uchambuzi wa wadau wa mradi
Mradi mpya na maswala nyeti katika jamii
Tathimini na Ufuatiliaji wa mradi
Uendelevu wa Mradi na
Bajeti ya mradi mzima