http://wepesimedia.blogspot.com/p/blog-page.html

post-feature-image

Chukua Tahadhari Kama Unatumia Hizi Bulb


TANGAZA NASISI KWA BEI NAFUU NA UPATE MATOKEO MAZURI KATIKA BIASHARA YAKO.

Tunapenda kupunguza matumizi ya nishati, hizi bulb ambazo ni rafiki wa mazingira na zinazookoa nishati(energy serving bulb) zimekuwa zik...

MFAHAMU MTOTO WA 'FARU JOHN', NA ALIVYOKUWA TISHIO KWA WENZAKE NGORONGORO..
MNYAMA ANAYE KULA CHAKULA 300 KG KWA SIKU.
FAIDA ZA KIAFYA ZIPATIKANAZO KWA KULA MATANGO.
Tunapenda kupunguza matumizi ya nishati, hizi bulb ambazo ni rafiki wa mazingira na zinazookoa nishati(energy serving bulb) zimekuwa zikitumika zaidi kwa sasa.

Ila ni vyema ujue kwamba hizi bulb za kisasa ni kweli zina sumu. Shirika la kulinda Mazingira limetoa maelekezo ya dharura unayohitaji kuyafuata endapo bulb yako itavunjika.

Hii ni kutokana na gesi yenye sumu inayotoka endapo bulb itavunjika.

Taasisi ya Fraunhofer Wilhelm Klauditz ya Ujerumani inadai kuwa kama taa hii itavunjika ndani ya nyumba itatoa mara 20 zaidi ya Mercury katika hewa

Bulb hizi za kupunguza matumizi ya Nishati zinaweza kukuletea matatizo haya;

  • Kizunguzungu
  • Kifafa
  • Maumivu ya kichwa
  • Uchovu
  • Kutostahimili
  • Wasiwasi

1.Bulbu hizi zinazookoa nishati zina wingi wa zebaki(mercury)

Mercury ni hatari hasa kwa 

  • watoto na 
  • wanawake wajawazito. 
  • Uharibu mfumo wa neva, 
  • ubongo, 
  • figo na 
  • ini.
  • Pia uharibu uzazi, 
  • kinga ya mwili, 
  • mfumo wa mishipa ya moyo,
  • pia inaweza kukusababishia mitikisiko,
  • kukosa usingizi, kuumwa kichwa, 
  • wasiwasi na 
  • kupoteza kumbukumbu 

2.Bulb hizi zinaweza kukusababishia Kansa
  • Utafiti uliofanywa Maabara uligundua kwamba hizi balbu pia zina sumu zinazoweza kukusababishia kansa
  • Phenol, tindikali hii yenye chembechembe nyeupe zenye sumu inapatikana katika makaa ya mawe na inatumika kwa matumizi ya viwanda
  • Taa hizi zina wingi wa mionzi ya UV
  • Mionzi hii ya UV si mizuri kwa afya ya ngozi na inaweza kukusababishia kansa ya ngozi.

Baada ya kusoma haya maelezo unaweza kuchagua kuendelea kutumia balbu hizi kwa maana gharama zake ni nafuu, kama utafanya hivyo basi yakupasa kusoma maelekezo na kujua jinsi ya kukabiliana na mercury(zebaki) na kemikali zinazoweza kukusababishia kansa.

Fanya hivi kabla ya kutoa bulb iliyopasuka;

  • Watu na wanyama waondoke katika chumba
  • Fungua madirisha na milango kwa mda wa dakika 5-10

Name

BIASHARA NA UCHUMI BREAKING NEWS BURUDANI ENGLISH NEWS GOSIIP GOSPEL HABARI HABARI PICHA MAGAZETI MAKALA MATUKIO MICHEZO MUSIC VIDEO WAZO LANGU
false
ltr
item
WEPESI MEDIA : Chukua Tahadhari Kama Unatumia Hizi Bulb
Chukua Tahadhari Kama Unatumia Hizi Bulb
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgVni5D3-9xTIY1ktQMqCYZe4ly05qKTWkChFFAwAeX8HVBZvaSDXu44JQRMoD7WyCyXbJexZZA40aTdAWLtUL9LGG3i-XjUyB7cXBKIwuWChGy36hrCLSyzkl3KZjI_8BSprvEDiEMBvOS/s640/bulb.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgVni5D3-9xTIY1ktQMqCYZe4ly05qKTWkChFFAwAeX8HVBZvaSDXu44JQRMoD7WyCyXbJexZZA40aTdAWLtUL9LGG3i-XjUyB7cXBKIwuWChGy36hrCLSyzkl3KZjI_8BSprvEDiEMBvOS/s72-c/bulb.jpg
WEPESI MEDIA
https://wepesimedia.blogspot.com/2017/08/chukua-tahadhari-kama-unatumia-hizi-bulb.html
https://wepesimedia.blogspot.com/
http://wepesimedia.blogspot.com/
http://wepesimedia.blogspot.com/2017/08/chukua-tahadhari-kama-unatumia-hizi-bulb.html
true
925270315725722404
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All

USIPITWE NA HIZI HAPA CHINI LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy