\ MATANGO yana faida mbalimbali katika afya ya mwili wa mwanadamu. Matango huweza kutengenezwa kama juisi au kutafunwa bil...
\
MATANGO yana faida mbalimbali katika afya ya mwili wa mwanadamu.
Matango huweza kutengenezwa kama juisi au kutafunwa bila kupikwa.
MATAYARISHO
Osha vizuri na kula na maganda, ukiondoa maganda siyo mbaya sana pia.
FAIDA ZA KIAFYA ZA MATANGO:
Faida za kiafya za matango ni pamoja na :
i. Kutibu magonjwa ya saratani
ii. Kutibu Vidonda vya tumbo
iii. Kutibu magonjwa ya ngozi
iv. Kutibu majipu
v. Matango hutumiwa kwa urembo wa ngozi (Kutumia matango kwa urembo wa ngozi, sugua uso kwa kipande cha tango au osha uso kwa juisi yake)
vi. Matango husaidia kuondoa uric-acid katika mwili
vii. Vilevile matango husaidia kusafisha na kutibu utumbo mwembamba
viii. Matango husaidia kuzuia na kutibu magonjwa ya ini na figo
ix. Juisi ya matango inasaidia kuufanya mwili kuwa katika afya nzuri.
x. Watu wenye mikono yenye michubuko, watumie matango kwa kupaka mikono na mwili wote . weka katika beseni , osha uso na mwili wote
NB: Vitamini na madini mengi, vinapatikana kwenye maganda. Hivyo unapotumia matango, unashauriwa kutotoa maganda ingawa mengine ni machungu kidogo