http://wepesimedia.blogspot.com/p/blog-page.html

BEGI LINALOTEMBEA LENYEWE KUMFUATA MMILIKI WAKE

Sote tunajua taabu inayopatikana ya ubebaji Begi au mabegi pale tunaposafiri kuelekea katika kituo aidha cha Mabasi, Treni au Ndege. ...

Sote tunajua taabu inayopatikana ya ubebaji Begi au mabegi pale tunaposafiri kuelekea katika kituo aidha cha Mabasi, Treni au Ndege.
Adha hiyo sasa inakaribia kuondoka kabisa baada ya kufanyika mageuzi makubwa ya kiteknolojia kwa kuundwa begi la kisasa.
Travelmate ndio begi la kwanza duniani ambalo linatembea lenyewe bila kubebwa kuelekea kule ambapo muhusika wa begi anapoelekea.
Begi hilo la aina yake linalofanya safari iwe rahisi lilizinduliwa na Travemate mwaka 2016 mwezi oktoba.  
                     
Ni begi linalotumia Teknolojia ambayo hutakuwa na kazi ya kulibeba bali litakuwa linakufuata popote uendapo.
Ili liweze kufanya kazi vizuri na kumfuata mwenye begi limeunganishwa na simu kupitia GPS ili kuweza kumfatilia mmiliki wake kwa usahihi zaidi. Popote utakapoliweka utaweza kulifuatilia
kupitia GPS.
Begi hilo linaweza kutembea kwa vertically (wima) na horizontally (usawa) na unaweza kuongeza mzigo juu yake na likaendelea kutembea bila ya taabu yoyote.
Pia Linaweza kupita popote bila shida yoyote. Linarekebisha mwendo wake ili liwe  nyuma yako kidogo. Kasi yake ni maili 6.75 kwa saa (sawa na 10.8km kwa saa) Begi hilo linatumia Battery ambalo unaweza kulitoa. 
Unaweza kulichaji kwa njia ya wireless au kwa njia USB. Battery yake inakaa na Chaji kwa masaa 4 likiwa linatumika. Na bila ya kutumika chaji inakaa kwa masaa 100. Unaweza kuweka LOCK kwa kutumia fingerprint.                                                                                                                                            
Begi hilo linalozalishwa Marekani linapatikana kwa rangi mbalimbali, na Bei yake linaanzia dola 399. 
Bei hilo linatarajiwa kuuzwa mwezi june mwaka huu tayari milango ya kuweka oda ipo wazi.

COMMENTS


TANGAZA NASISI KWA BEI NAFUU NA UPATE MATOKEO MAZURI KATIKA BIASHARA YAKO.

MAGAZETI$type=sticky$count=4


Name

BIASHARA NA UCHUMI BREAKING NEWS BURUDANI ENGLISH NEWS GOSIIP GOSPEL HABARI HABARI PICHA MAGAZETI MAKALA MATUKIO MICHEZO MUSIC VIDEO WAZO LANGU
false
ltr
item
WEPESI MEDIA : BEGI LINALOTEMBEA LENYEWE KUMFUATA MMILIKI WAKE
BEGI LINALOTEMBEA LENYEWE KUMFUATA MMILIKI WAKE
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgJl9u8p8GLvUrSRXfSvl4rGEgX0kxV810xoqxDOmkCJdC9f5t8hhV6pv_n9POc9oMzThP9iVORgLzw8JmXry222Y8U2LHlrFoJSubEtsFx7Et0-XOojQ9r48Bn4mciHCP1rv85597YE3s/s640/IMG-20170319-WA0020.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgJl9u8p8GLvUrSRXfSvl4rGEgX0kxV810xoqxDOmkCJdC9f5t8hhV6pv_n9POc9oMzThP9iVORgLzw8JmXry222Y8U2LHlrFoJSubEtsFx7Et0-XOojQ9r48Bn4mciHCP1rv85597YE3s/s72-c/IMG-20170319-WA0020.jpg
WEPESI MEDIA
https://wepesimedia.blogspot.com/2017/08/begi-linalotembea-lenyewe-kumfuata.html
https://wepesimedia.blogspot.com/
http://wepesimedia.blogspot.com/
http://wepesimedia.blogspot.com/2017/08/begi-linalotembea-lenyewe-kumfuata.html
true
925270315725722404
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All

USIPITWE NA HIZI HAPA CHINI LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy