http://wepesimedia.blogspot.com/p/blog-page.html

Ester Bulaya Augua Ghafla Akiwa Rumande

Mbunge wa Bunda Mjini, Ester Amos Bulaya (Chadema) amelazwa katika Hospitali ya Wilaya ya Tarime mkoani Mara usiku wa kuamkia leo baada ...


Mbunge wa Bunda Mjini, Ester Amos Bulaya (Chadema) amelazwa katika Hospitali ya Wilaya ya Tarime mkoani Mara usiku wa kuamkia leo baada ya kuugua ghafla akiwa rumande ambako alikuwa ameshikiliwa na Jeshi la Polisi Kanda ya Tarime Rorya baada ya kumkamata akiwa hotelini kwa madai ya kutaka kufanya mkusanyiko usio halali.


Taarifa za kulazwa kwa Bulaya zimethibitishwa na Mbunge wa viti maalumu mkoa wa Mara Joyce Sokombi (CHADEMA) ambapo amezungumzia hali ya Mbunge huyo kwa sasa, na kusema kwamba hali yake bado haijatengemaa kwani amepewa rufaa kwenda hospitali ya mkoa.


Mh. Sokombi amesema presha ya Ester Bulaya bado ipo chini, kiasi kwamba wameshindwa kumsafirisha kwenda hospitali kubwa, hivyo wanasubiri madaktari wamsaidie kurudisha hali ya presha yake, ndipo wamtoe hospitali.

Pia Mh. Sokombi amesema kwa sasa Bulaya ameshapatiwa dhamana akiwa hapo hospitalini

COMMENTS


TANGAZA NASISI KWA BEI NAFUU NA UPATE MATOKEO MAZURI KATIKA BIASHARA YAKO.

MAGAZETI$type=sticky$count=4


Name

BIASHARA NA UCHUMI BREAKING NEWS BURUDANI ENGLISH NEWS GOSIIP GOSPEL HABARI HABARI PICHA MAGAZETI MAKALA MATUKIO MICHEZO MUSIC VIDEO WAZO LANGU
false
ltr
item
WEPESI MEDIA : Ester Bulaya Augua Ghafla Akiwa Rumande
Ester Bulaya Augua Ghafla Akiwa Rumande
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEg-bAoW5g4WrwI55E2lcc6sIS3gE2mDFHVrrdfueVI8jE-2NwscLWKTNjZo23wrWBI8Ig6KxeExjCd5A0qyb9Ontc62oo_V4u06wDzEALtkUoX4MNHUWn-0hFk0FRUI-YiLJAwS3zyQlSF8/s1600/1.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEg-bAoW5g4WrwI55E2lcc6sIS3gE2mDFHVrrdfueVI8jE-2NwscLWKTNjZo23wrWBI8Ig6KxeExjCd5A0qyb9Ontc62oo_V4u06wDzEALtkUoX4MNHUWn-0hFk0FRUI-YiLJAwS3zyQlSF8/s72-c/1.jpg
WEPESI MEDIA
https://wepesimedia.blogspot.com/2017/08/ester-bulaya-augua-ghafla-akiwa-rumande.html
https://wepesimedia.blogspot.com/
http://wepesimedia.blogspot.com/
http://wepesimedia.blogspot.com/2017/08/ester-bulaya-augua-ghafla-akiwa-rumande.html
true
925270315725722404
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All

USIPITWE NA HIZI HAPA CHINI LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy