http://wepesimedia.blogspot.com/p/blog-page.html

post-feature-image

Kesi ya kuzuia uchaguzi TLS yatupwa


TANGAZA NASISI KWA BEI NAFUU NA UPATE MATOKEO MAZURI KATIKA BIASHARA YAKO.

Dar es Salaam. Mahakama Kuu imetupilia mbali kesi ya Kikatiba iliyofunguliwa na Wakili Onesmo Mpinzila pamoja na mambo mengine akipinga Kanu...

Magufuli Ashusha Nyundo 7.....Apasua makampuni ya madini, Mafao hewa na miamala ya simu
Rais Magufuli Awaonya Wanasiasa Wanaomchelewesha Kufanya Kazi
Alex Msama Amwangukia Mwakyembe Kumuomba Radhi Baada ya Gazeti la DIRA Analolimiliki Kuchapisha Habari Zenye Utata



Dar es Salaam. Mahakama Kuu imetupilia mbali kesi ya Kikatiba iliyofunguliwa na Wakili Onesmo Mpinzila pamoja na mambo mengine akipinga Kanuni za Uchaguzi za Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS) za mwaka 2016.

Kesi hiyo imetupiliwa mbali baada ya Mahakama kukubaliana na hoja za mapingamizi ya TLS na Mwanasheria Mkuu wa Serikali ambao ndio waliokuwa wadaiwa katika kesi hiyo.

Hoja hizo ambao Mahakama imekubaliana nazo ni pamoja na kwamba mdai hakuwa na mamlaka kisheria kufungua kesi hiyo na kwamba hati yake ya kiapo kilichokuwa kikiunga mkono madai yake ilikuwa na kasoro za kisheria.

Uamuzi huo umesomwa na Jaji Ignasi Kitusi kwa niaba ya jopo la majaji watatu waliokuwa wakisikiliza kesi hiyo. Majaji wengine walikuwa ni Rose Teemba(kiongozi wa jopo) na Beatrice Mutungi.



Kwa ufupi

Kesi hiyo imetupiliwa mbali baada ya Mahakama kukubaliana na hoja za mapingamizi ya TLS na Mwanasheria Mkuu wa Serikali ambao ndio waliokuwa wadaiwa katika kesi hiyo.

By James Magai, Mwananchi

Name

BIASHARA NA UCHUMI BREAKING NEWS BURUDANI ENGLISH NEWS GOSIIP GOSPEL HABARI HABARI PICHA MAGAZETI MAKALA MATUKIO MICHEZO MUSIC VIDEO WAZO LANGU
false
ltr
item
WEPESI MEDIA : Kesi ya kuzuia uchaguzi TLS yatupwa
Kesi ya kuzuia uchaguzi TLS yatupwa
http://www.mwananchi.co.tz/image/view/-/3852010/highRes/1591296/-/maxw/600/-/12spu6fz/-/pic+kesi+ya+TLS.jpg
WEPESI MEDIA
https://wepesimedia.blogspot.com/2017/03/kesi-ya-kuzuia-uchaguzi-tls-yatupwa.html
https://wepesimedia.blogspot.com/
http://wepesimedia.blogspot.com/
http://wepesimedia.blogspot.com/2017/03/kesi-ya-kuzuia-uchaguzi-tls-yatupwa.html
true
925270315725722404
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All

USIPITWE NA HIZI HAPA CHINI LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy