http://wepesimedia.blogspot.com/p/blog-page.html

Mwinyi: Utawala wa Rais Magufuli ulipaswa kuendelea kuwepo miaka yote

Rais Mstaafu wa Awamu ya Pili, Ali Hassan Mwinyi amesema kama si utawala wa katiba uliopo nchini, utawala wa Rais John Magufuli ulipaswa k...

Rais Mstaafu wa Awamu ya Pili, Ali Hassan Mwinyi amesema kama si utawala wa katiba uliopo nchini, utawala wa Rais John Magufuli ulipaswa kuendelea kuwepo miaka yote.

Mwinyi ameyasema hayo leo (Jumatatu) wakati akitoa salam za Eid El Fitr katika viwanja vya Mnazi Mmoja, jijini Dar es Salaam.

Amesema anayoyafanya Rais Magufuli ni mambo mazuri na kwamba kwa kiasi kikubwa amefanikiwa kulipeleka taifa mahali kuzuri.

"Amelipeleka taifa mahali kuzuri, anerudisha nidhamu, sasa hivi ukienda hospitali unapata huduma vizuri, ukienda kwenye ofisi unapata huduma nzur," amesema. "Yako mengi mzuri, tumuunge mkono Rais wetu, kama isingekuwa katika basi ningesema aendelee kuongoza mpaka mwisho," ameongeza.

COMMENTS


TANGAZA NASISI KWA BEI NAFUU NA UPATE MATOKEO MAZURI KATIKA BIASHARA YAKO.

MAGAZETI$type=sticky$count=4


Name

BIASHARA NA UCHUMI BREAKING NEWS BURUDANI ENGLISH NEWS GOSIIP GOSPEL HABARI HABARI PICHA MAGAZETI MAKALA MATUKIO MICHEZO MUSIC VIDEO WAZO LANGU
false
ltr
item
WEPESI MEDIA : Mwinyi: Utawala wa Rais Magufuli ulipaswa kuendelea kuwepo miaka yote
Mwinyi: Utawala wa Rais Magufuli ulipaswa kuendelea kuwepo miaka yote
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhmXZRzRre2v7cA3WW4GcjfQjfIjsY00Lfrgh23gJSvLKYVQaVb6L6URq5W2wJabGz8yTHfkb-I-C-6gXEg6-TmVDJ1na-Lv6TanrolvJzrViVkTMzuqytKHtOFDqBtm-WDVScjwEglLIVp/s640/4488510_orig.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhmXZRzRre2v7cA3WW4GcjfQjfIjsY00Lfrgh23gJSvLKYVQaVb6L6URq5W2wJabGz8yTHfkb-I-C-6gXEg6-TmVDJ1na-Lv6TanrolvJzrViVkTMzuqytKHtOFDqBtm-WDVScjwEglLIVp/s72-c/4488510_orig.jpg
WEPESI MEDIA
https://wepesimedia.blogspot.com/2017/06/mwinyi-utawala-wa-rais-magufuli.html
https://wepesimedia.blogspot.com/
http://wepesimedia.blogspot.com/
http://wepesimedia.blogspot.com/2017/06/mwinyi-utawala-wa-rais-magufuli.html
true
925270315725722404
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All

USIPITWE NA HIZI HAPA CHINI LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy