http://wepesimedia.blogspot.com/p/blog-page.html

post-feature-image

Ikulu yakanusha taarifa ya serikali kufuta mitandao ya kijamii


TANGAZA NASISI KWA BEI NAFUU NA UPATE MATOKEO MAZURI KATIKA BIASHARA YAKO.

Dar es Salaam. Mkurugenzi wa Idara ya Habari na Mawasiliano ya Ikulu, Gerson Msigwa ameikanusha taarifa inayosambaa ikionyesha kuwa serikali...

SIMANZI!! MTOTO AFARIKI BAADA YA KUGONGWA NA GARI KATIKA MAENEO YA MAEGESHO YA MAGARI KANISA KATOLIKI KAGERA.
Mihogo yenye sumu yafyeka uhai wa mtoto Dar
Mtoto auawa kinyama, ang'olewa Sehemu za Siri na Macho


Dar es Salaam. Mkurugenzi wa Idara ya Habari na Mawasiliano ya Ikulu, Gerson Msigwa ameikanusha taarifa inayosambaa ikionyesha kuwa serikali inatishia kuifuta mitandao ya kijamii.
Taarifa hiyo iliyoonyesha imeandaliwa na Ikulu, ilieleza kuwa serikali haitasita kuifuta mitandao ya kijamii iwapo itabaini kuwa yote yanayoendelea hayana tija.

“Serikali inafuatilia kwa karibu yote yanayoendelea kwenye mitandao ya kijamii, na endapo itabaini haina tija,
Msigwa baadaye aliandika katika ukurasa wake wa Twitter akiwataka watanzania waipuuze taarifa hiyo kwa kuwa ni feki.

Kwa ufupi
Taarifa hiyo iliyoonyesha imeandaliwa na Ikulu, ilieleza kuwa serikali haitasita kuifuta mitandao ya kijamii iwapo itabaini kuwa yote yanayoendelea hayana tija.

source....mwananchi
|

Name

BIASHARA NA UCHUMI BREAKING NEWS BURUDANI ENGLISH NEWS GOSIIP GOSPEL HABARI HABARI PICHA MAGAZETI MAKALA MATUKIO MICHEZO MUSIC VIDEO WAZO LANGU
false
ltr
item
WEPESI MEDIA : Ikulu yakanusha taarifa ya serikali kufuta mitandao ya kijamii
Ikulu yakanusha taarifa ya serikali kufuta mitandao ya kijamii
http://www.mwananchi.co.tz/image/view/-/3863474/highRes/1598818/-/maxw/600/-/kfs5y6/-/IKULU+PICHA.jpg
WEPESI MEDIA
https://wepesimedia.blogspot.com/2017/03/ikulu-yakanusha-taarifa-ya-serikali.html
https://wepesimedia.blogspot.com/
http://wepesimedia.blogspot.com/
http://wepesimedia.blogspot.com/2017/03/ikulu-yakanusha-taarifa-ya-serikali.html
true
925270315725722404
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All

USIPITWE NA HIZI HAPA CHINI LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy