Ukizungumzia urembo uliopitiliza basi utaupata kwa staa wa filamu The Hunger Games, Amandla Stenberg. Mrembo huyo ameigiza filamu mpya ii...
Ukizungumzia urembo uliopitiliza basi utaupata kwa staa wa filamu The Hunger Games, Amandla Stenberg.
Mrembo huyo ameigiza filamu mpya iitwayo “Everything, Everything,” ambayo inatokana na kitabu chenye jina hilo hilo kilichoandikwa na Nicola Yoon. Stenberg anacheza kama msichana mwenye ugonjwa ambaye anatakiwa kukaa tu ndani maisha yake yote ili kuwa salama.
Tazama trailer yake hapo chini. Filamu itaingia theater May 19.
Hizi ni picha zingine za mrembo huyo kwenye jarida la hivi karibuni la Dazed.