Mshindi wa tuzo ya MTV EMA 2016, Alikiba ametua nchini Afrika Kusini tayari kwa ziara yake ya kwanza nchini humo. Alikiba (nyuma) akiwa ...
Mshindi wa tuzo ya MTV EMA 2016, Alikiba ametua nchini Afrika Kusini tayari kwa ziara yake ya kwanza nchini humo.
Alikiba (nyuma) akiwa na meneje wake Seven Mosha nchini Afrika Kusini) Wakati akitangaza kwa mara ya kwanza ziara hiyo, Alikiba aliandika, “Happy New Year. It’s time to meet my fans across the world. I start with South Africa in February 2017! . KING KIBA LIVE ON TOUR IN SOUTH AFRICA.