http://wepesimedia.blogspot.com/p/blog-page.html

post-feature-image

Gardner Amjibu Lady Jay Dee, Agoma kuomba Radhi


TANGAZA NASISI KWA BEI NAFUU NA UPATE MATOKEO MAZURI KATIKA BIASHARA YAKO.

Hatimaye mtangazaji wa Clouds Fm, Gardner G. Habash amemjibu aliyekuwa mkewe, Lady Jay Dee, aliyemtaka aombe radhi ndani ya siku saba k...

MAELEZO YA KAMANDA MAMBOSASA NA KAMANDA BWIRE WAMETOFAUTINIANA KIMAELEZO JUU YA NONDO
POLISI AMUUA POLISI MWENZAKE KWA RISASI
Jeshi la Polisi limezitaka Kampuni binafsi za ulinz kuvaa sare za aina moja ifikapo Januari 1, 2019
Hatimaye mtangazaji wa Clouds Fm, Gardner G. Habash amemjibu aliyekuwa mkewe, Lady Jay Dee, aliyemtaka aombe radhi ndani ya siku saba kwa kauli aliyoitoa iliyodaiwa kuwa imelenga kumdhalilisha. Katika majibu yake amekana madai hayo.

Siku chache zilizopita, Gardner alionekana katika kipande cha Video akisherehesha tukio la kumsaka mrimbwende wa chuo cha Tanzania Institute of Accountancy (TIA) jijini Dar es Salaam, ambapo alisema kuwa “yule binti sina tatizo naye, nimeshamkojoza kwa miaka kama 15 hivi…”, kisha wimbo wa ‘Ndindindi’ wa Jay Dee ukachezwa na DJ.

Kama ilivyokuwa kwa Lady Jay Dee aliyetoa siku saba za kuombwa radhi kupitia kwa mwanasheria wake Amani Tenga, Gardner amejibu kupitia mwanasheria wake Stephen Axwesso.

Katika barua yake kwa mwanasheria wa Lady Jay Dee, mwanasheria huyo wa Gardner amekiri kuwa ni kweli mteja wake alizungumza maneno hayo alipokuwa katika shughuli iliyotajwa, lakini alidai kuwa hakuna sehemu aliyomtaja mkewe huyo wa zamani.

Alisema kuwa madai ya upande wa Lady Jay Dee hayana mashiko na alimshauri mwanasheria huyo kupitia upya sheria inayozungumzia wanandoa waliotalakiana ili aweze kumshauri vizuri mteja wake kuhusu suala hilo.

Nakala ya barua hiyo pia imetumwa Clouds Media Group na kwa Rais wa Wanafunzi wa Chuo cha TIA.
 
CHANZO .......MPEKUZI

Name

BIASHARA NA UCHUMI BREAKING NEWS BURUDANI ENGLISH NEWS GOSIIP GOSPEL HABARI HABARI PICHA MAGAZETI MAKALA MATUKIO MICHEZO MUSIC VIDEO WAZO LANGU
false
ltr
item
WEPESI MEDIA : Gardner Amjibu Lady Jay Dee, Agoma kuomba Radhi
Gardner Amjibu Lady Jay Dee, Agoma kuomba Radhi
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhBE4el472cP8iAh3WYqfxOx0AkUQ2Hn7W9FF41vLx1oYJhLi207lmrBH60n4srwPbCq7TefuaCKZ-gYFK4p_wLsFWeVyRloI2FqW1n2X-PCMjxwJ8vHCweZJJWHTQSeh645Cao-EETuS6_/s1600/3.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhBE4el472cP8iAh3WYqfxOx0AkUQ2Hn7W9FF41vLx1oYJhLi207lmrBH60n4srwPbCq7TefuaCKZ-gYFK4p_wLsFWeVyRloI2FqW1n2X-PCMjxwJ8vHCweZJJWHTQSeh645Cao-EETuS6_/s72-c/3.jpg
WEPESI MEDIA
https://wepesimedia.blogspot.com/2016/05/gardner-amjibu-lady-jay-dee-agoma.html
https://wepesimedia.blogspot.com/
http://wepesimedia.blogspot.com/
http://wepesimedia.blogspot.com/2016/05/gardner-amjibu-lady-jay-dee-agoma.html
true
925270315725722404
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All

USIPITWE NA HIZI HAPA CHINI LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy