http://wepesimedia.blogspot.com/p/blog-page.html

post-feature-image

Clinton ajitangaza mshindi mchujo wa Kentucky


TANGAZA NASISI KWA BEI NAFUU NA UPATE MATOKEO MAZURI KATIKA BIASHARA YAKO.

Clinton ana matumaini makubwa ya kuteuliwa kuwa mgombea Mgombea urais wa chama cha Democratic nchini Marekani Hillary Clinton amejit...

MBOWE:Kufukuza waandishi wa habari wakifanya kazi yao si sawa
Dkt Tonia amliza Rais Magufuli
DIWANI WA KATA YA MURIETY CHADEMA AMEJIUZULU NAFASI YAKE YA UDIWANI NA KUMUNGA MKONO RAISI MAGUFULI

Mgombea urais wa chama cha Democratic nchini Marekani Hillary Clinton amejitangaza mshindi kwenye mchujo wa chama hicho katika jimbo la Kentucky.

Huku kura nyingi zikiwa zimehesabiwa katika jimbo hilo, na uongozi wake ukiwa chini ya 0.5%, Bi Clinton ametangazwa kuwa mshindi asiye rasmi na mmoja wa maafisa katika jimbo hilo.

Katika jimbo jingine la Oregon, ambalo pia lilifanya mchujo Jumanne, Seneta Bernie Sanders ameibuka mshindi.

Bi Clinton, ambaye anaongoza kwa wajumbe katika chama cha Democratic, ana matumaini makubwa ya kupata uteuzi Julai.

Alison Lundergan Grimes, mwenyekiti wa bodi ya uchaguzi ya Kentucky, ameambia CNN kwamba matokeo yasiyo rasmi yanaonesha Clinton atapata ushindi mwembamba katika mchujo Kentucky.
Muda mfupi baadaye, Bi Clinton ameandika kwenye Twitter: "Tumeshinda Kentucky! Nawashukuru sana nyote mliojitokeza. Tuna nguvu zaidi daima tukiwa na umoja.”

Bw Sanders, akihutubia mkutano California Jumanne, alisema bado ataendelea na kampeni yake.
Katika chama cha Republican, Donald Trump ameshinda mchujo, jambo ambalo si la kushangaza kwani ndiye pekee aliyesalia kwenye kinyang’anyiro.

Name

BIASHARA NA UCHUMI BREAKING NEWS BURUDANI ENGLISH NEWS GOSIIP GOSPEL HABARI HABARI PICHA MAGAZETI MAKALA MATUKIO MICHEZO MUSIC VIDEO WAZO LANGU
false
ltr
item
WEPESI MEDIA : Clinton ajitangaza mshindi mchujo wa Kentucky
Clinton ajitangaza mshindi mchujo wa Kentucky
http://ichef-1.bbci.co.uk/news/ws/660/amz/worldservice/live/assets/images/2016/05/18/160518041054_sanders_clinton_kentucky_oregon_640x360_getty_nocredit.jpg
WEPESI MEDIA
https://wepesimedia.blogspot.com/2016/05/clinton-ajitangaza-mshindi-mchujo-wa.html
https://wepesimedia.blogspot.com/
http://wepesimedia.blogspot.com/
http://wepesimedia.blogspot.com/2016/05/clinton-ajitangaza-mshindi-mchujo-wa.html
true
925270315725722404
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All

USIPITWE NA HIZI HAPA CHINI LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy