http://wepesimedia.blogspot.com/p/blog-page.html

MISRI:MWANAMUZIKI APIGWA JELA MIEZI SITA KWA KUDHIHAKI MTO NILE....MWENYEWE ALIDAI KUWA NI UTANI

Mwanamuziki maarufu nchini Misri na Jaji katika kipindi cha mashindano ya waimbaji, The Voice,Sherine Abdel Wahab amehukumiwa miezi sita ...


Mwanamuziki maarufu nchini Misri na Jaji katika kipindi cha mashindano ya waimbaji, The Voice,Sherine Abdel Wahab amehukumiwa miezi sita jela kwa kutania juu ya hali ya usafi wa mto Nile baada ya kuwaambia mashabiki wake kuwa kunywa maji ya mto huo kunaweza kumpatia vijidudu vya maradhi.

Sherine alifunguliwa mashitaka mwezi Novemba, baada ya kuonekana video mtandaoni ikimuonesha akiombwa kuimba wimbo uitwao Mashrebtesh Men Nilha “umewahi kunywa maji ya mto Nile?” Akajibu ‘‘Nikinywa maji ya mto Nile nitapata kichocho, kunywa Evian badala yake,” alisikika akitania.

Abdel Wahab baadae aliomba radhi kutokana na tukio hilo akiwa kwenye tamasha lililofanyika huko Jumuiya ya falme za kiarabu zaidi ya mwaka mmoja uliopita.

COMMENTS


TANGAZA NASISI KWA BEI NAFUU NA UPATE MATOKEO MAZURI KATIKA BIASHARA YAKO.

MAGAZETI$type=sticky$count=4


Name

BIASHARA NA UCHUMI BREAKING NEWS BURUDANI ENGLISH NEWS GOSIIP GOSPEL HABARI HABARI PICHA MAGAZETI MAKALA MATUKIO MICHEZO MUSIC VIDEO WAZO LANGU
false
ltr
item
WEPESI MEDIA : MISRI:MWANAMUZIKI APIGWA JELA MIEZI SITA KWA KUDHIHAKI MTO NILE....MWENYEWE ALIDAI KUWA NI UTANI
MISRI:MWANAMUZIKI APIGWA JELA MIEZI SITA KWA KUDHIHAKI MTO NILE....MWENYEWE ALIDAI KUWA NI UTANI
https://globalpublishers.co.tz/wp-content/uploads/2018/02/misri.jpg
https://i.ytimg.com/vi/ztsvCVr97hA/default.jpg
WEPESI MEDIA
https://wepesimedia.blogspot.com/2018/02/misrimwanamuziki-apigwa-jela-miezi-sita.html
https://wepesimedia.blogspot.com/
http://wepesimedia.blogspot.com/
http://wepesimedia.blogspot.com/2018/02/misrimwanamuziki-apigwa-jela-miezi-sita.html
true
925270315725722404
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All

USIPITWE NA HIZI HAPA CHINI LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy