http://wepesimedia.blogspot.com/p/blog-page.html

post-feature-image

Wema Atikisa Mlimani City, Anyakuwa Tuzo za SZIFF


TANGAZA NASISI KWA BEI NAFUU NA UPATE MATOKEO MAZURI KATIKA BIASHARA YAKO.

HATIMAYE zile tuzo za Sinema Zetu International Film Festival zilizokuwa zikisubiliwa kwa muda mrefu zimefanyika usiku wa kuamkia leo k...

Dkt Shein Afanya mabadiliko madogo katika baraza.
Umaarufu wamkatili mpenzi wa Dogo Janja
Video: Diamond akionesha vifaa vya gharama vya Wasafi radio na Wasafi TV

HATIMAYE zile tuzo za Sinema Zetu International Film Festival zilizokuwa zikisubiliwa kwa muda mrefu zimefanyika usiku wa kuamkia leo katika Ukumbi wa Mlimani City huku wasanii kibao wa ilamu nchini wakiibuka washindi katika vipengele mbalimbali vya tuzo hizo.


Miongoni mwa wasanii walionyakua tuzo hizo ni pamoja na Malkia wa Bongo Muvi, Wema Sepetu, ambaye ameshinda tuzo ya ‘Best Views Choice’ yaani tuzo iliyopendekezwa na mashabiki na sio majaji.

Baada ya kutangazwa mshindi, Wema, amesema anamshukuru sana mama yake mzazi kwa sapoti anayompa, pia amewashukuru team Wema kwa kumpigia kura na kumuwezesha kuibuka mshindi.

Filamu yake ya Heaven Sent ndiyo ilimpa tuzo ya Chaguo la Watazamaji, kati ya filamu zaidi ya 140 ziizooneshwa. Mbali na tuzo hiyo, Wema pia ameshinda tuzo ya Muigizaji Bora wa Kike.

Name

BIASHARA NA UCHUMI BREAKING NEWS BURUDANI ENGLISH NEWS GOSIIP GOSPEL HABARI HABARI PICHA MAGAZETI MAKALA MATUKIO MICHEZO MUSIC VIDEO WAZO LANGU
false
ltr
item
WEPESI MEDIA : Wema Atikisa Mlimani City, Anyakuwa Tuzo za SZIFF
Wema Atikisa Mlimani City, Anyakuwa Tuzo za SZIFF
https://globalpublishers.co.tz/wp-content/uploads/2018/04/wema1.jpg
WEPESI MEDIA
https://wepesimedia.blogspot.com/2018/04/wema-atikisa-mlimani-city-anyakuwa-tuzo.html
https://wepesimedia.blogspot.com/
http://wepesimedia.blogspot.com/
http://wepesimedia.blogspot.com/2018/04/wema-atikisa-mlimani-city-anyakuwa-tuzo.html
true
925270315725722404
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All

USIPITWE NA HIZI HAPA CHINI LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy