http://wepesimedia.blogspot.com/p/blog-page.html

post-feature-image

"Tusimlishe maneno Rais Magufuli" - Nape Nnauye


TANGAZA NASISI KWA BEI NAFUU NA UPATE MATOKEO MAZURI KATIKA BIASHARA YAKO.

Mbunge wa Mtama (CCM) Ndugu Nape Nnauye amefunguka na kuwataka Watanzania kutomlisha maneno Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ku...

WANANCHI WABOMOLEWA NYUMBA 150 JIJINI DAR ES SALAAM, LEO KUTUA KWA MKUU WA WILAYA KUPELEKA KILIO CHAO
Watu 6 wanaswa na silaha kwa mganga wa kienyeji Mwanza
Nyota ya Godbless Lema Inavyomng'arisha RC Gambo Mbele ya Rais Magufuli
Mbunge wa Mtama (CCM) Ndugu Nape Nnauye amefunguka na kuwataka Watanzania kutomlisha maneno Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kuhusu suala la kuongeza muda wa kuwa madarakani na kusema yeye alishasema hadharani hawezi kufanya hivyo. 
Nape Nnauye amesema hayo siku moja baada ya kutoa kauli yake kuhusu baadhi ya viongozi wa Afrika ambao wamekuwa wakibadili Katiba za nchi zao ili kuendelea kubaki madarakani na kulifananisha suala hilo na ushetani na kuwataka vijana kupinga suala hilo.
"Hapa kwetu Rais John Pombe Magufuli alishasema hadharani kuwa 'hana mpango huo', kwahiyo tusimlishe maneno yeye aliapa kuilinda na kuitunza Katiba" alisema Nape Nnauye
Mbali na hilo Nape Nnauye alikwenda mbali zaidi na kusema kuwa hata Mbunge wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Juma Nkamia ambaye alitaka kupeleka hoja Bungeni ili ukomo wa uongozi uwe miaka saba badala ya miaka mitano ya sasa na kusema kuwa Mbunge huyo hoja hiyo alishaachana nayo muda mrefu.
"Nkamia mwenyewe alishaachana nayo nyie ndio mnaitamani kwa kuamsha marehemu, hoja ilishakufa kiherehere cha nini. Tamaa yeyote ya kuongeza muda bila kujali kafanya nani ni ushetani kwani unavuruga nchi" alisisitiza Nape Nnauye



Name

BIASHARA NA UCHUMI BREAKING NEWS BURUDANI ENGLISH NEWS GOSIIP GOSPEL HABARI HABARI PICHA MAGAZETI MAKALA MATUKIO MICHEZO MUSIC VIDEO WAZO LANGU
false
ltr
item
WEPESI MEDIA : "Tusimlishe maneno Rais Magufuli" - Nape Nnauye
"Tusimlishe maneno Rais Magufuli" - Nape Nnauye
https://www.eatv.tv/sites/default/files/styles/detailpageimg/public/news/2018/03/06/Nape%20.jpg?itok=ZRVqE_6A×tamp=1520341878
WEPESI MEDIA
https://wepesimedia.blogspot.com/2018/03/tusimlishe-maneno-rais-magufuli-nape.html
https://wepesimedia.blogspot.com/
http://wepesimedia.blogspot.com/
http://wepesimedia.blogspot.com/2018/03/tusimlishe-maneno-rais-magufuli-nape.html
true
925270315725722404
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All

USIPITWE NA HIZI HAPA CHINI LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy