Chama kikuu cha upinzani visiwani Zanzibar leo kinatarajiwa kutangaza mikakati yake na msimamo kuhusiana na mzozo wa kisiasa wa Zanziba...
Chama kikuu cha upinzani visiwani
Zanzibar leo kinatarajiwa kutangaza mikakati yake na msimamo kuhusiana
na mzozo wa kisiasa wa Zanzibar.
Chama cha CUF visiwani Zanzibar bado kinaendeleza msimamo wake kususia kutambua matokeo na serikali iliyoundwa kufuatia uchaguzi wa marudio.
Hivi karibuni shirika la misaada la Marekani MCC lilisitisha msaada wa dola 487 kwa madai ya kutoridhishwa na hali ya kisiasa visiwani Zanzibar.




