UINGEREZA: Kamati ya Bunge imemtaka Mkurugenzi wa Facebook, Mark Zuckerberg kufika mbele yake ili kujibu maswali kuhusu utumiaji usio ha...
UINGEREZA: Kamati ya Bunge imemtaka Mkurugenzi wa Facebook,
Mark Zuckerberg kufika mbele yake ili kujibu maswali kuhusu utumiaji
usio halali wa taarifa kutoka katika mtandao
-
Kampuni ya Uingereza iitwayo Cambridge Analytica inatuhumiwa kutumia taarifa kutoka zaidi ya akaunti milioni 50 za Facebook kumsaidia Trump kupata ushindi mwaka 2016 ingawa imekataa tuhuma hizo.
-
Wakati hayo yakitokea, Bodi ya Kampuni hiyo ya uvunaji 'data' ambayo inatuhumiwa katika sakata hili, imemsimamisha kazi Mkurugenzi wake ili kupisha uchunguzi.