DAR: Jeshi la Polisi limewaachia viongozi waandamizi wa CHADEMA na wametakiwa kuripoti tena Kituo Kikuu cha Polisi mnamo Machi 27 kwa ma...
DAR: Jeshi la Polisi limewaachia viongozi
waandamizi wa CHADEMA na wametakiwa kuripoti tena Kituo Kikuu cha Polisi
mnamo Machi 27 kwa mahojiano
-
Viongozi walioachiwa leo kwa dhamana ni Mwenyekiti wa Chama, Freeman Mbowe, Naibu Katibu Mkuu(Zanzibar), Salum Mwalim na Dkt. Vicent Mashinji
-
Wakati huo huo, Wabunge John Mnyika na John Heche wanaendelea kushikiliwa kituoni hapo kwa mahojiano zaidi
-
Aidha, Jeshi hilo la Polisi limetoa amri kuwa Wabunge Halima Mdee na Ester Matiko wa CHADEMA wakamatwe popote walipo na kufikishwa Polisi kwa mahojiano maana wameshindwa kufika kituoni hapo leo
-
Viongozi hao walitakiwa kuripoti Polisi kwa mahojiano juu ya maandamano yaliyofanyika Februari 16, Kinondoni jijini Dar