http://wepesimedia.blogspot.com/p/blog-page.html

post-feature-image

KILIMANJARO. Mchungaji ashikiliwa na polisi kwa uchochezi wa kisiasa


TANGAZA NASISI KWA BEI NAFUU NA UPATE MATOKEO MAZURI KATIKA BIASHARA YAKO.

MOSHI, KILIMANJARO: Mchungaji Fredy Njama wa Usharika wa Karanga, KKKT Dayosisi ya Kaskazini, amekamatwa na Polisi kwa kinachoidaiwa kuw...

Watoto 20 wapoteza maisha kwa ajali Basi.!
Atembezwa Nusu UCHI Na Kisha Kulazimishwa Kula Kinyesi kwa Kosa la Kumtukana Mama Yak
Mahakama Yatoa Amri Agness Masogange Akamatwe
MOSHI, KILIMANJARO: Mchungaji Fredy Njama wa Usharika wa Karanga, KKKT Dayosisi ya Kaskazini, amekamatwa na Polisi kwa kinachoidaiwa kuwa ni “Uchochezi wa kisiasa”.
-
Mchungaji huyo wiki mbili zilizopita alisoma ripoti katika mkutano mkuu wa mwaka wa usharika wake ambayo ndo imepelekea kukamatwa kwake.
-
Katika ripoti hiyo, alibainisha kuwa mapato ya usharika yanapungua kwa sababu mbalimbali
-
Katika utangulizi wa ripoti alitaja changamoto 6 zinazoikabili nchi kwa sasa: Ukosefu wa ajira kwa vijana, Hali ya uchumi inayoyumba, Hali ya kisiasa ni ya mashaka, Gharama kubwa za matibabu, Sera ya elimu bure na Wastaafu kutolipwa mafao yao
-
Ripoti hiyo pia imechapwa ktk kijitabu na kiwanda cha uchapaji cha Dayosisi hiyo
-
Kundi la Polisi na maafisa usalama walimchukua Ijumaa asubuhi hadi kiwandani na kumtaka akusanye vijitabu vyote hadi vilivyosambazwa na kuvikabidhi Polisi. Aidha walimtaka aandike barua kuomba radhi na kufuta ripoti hiyo
-
Jioni ya leo, Polisi walifika ofisi ya usharika na kufanya upekuzi. Walichukua laptop na flash. Kisha walimpakia mchungaji katika gari lao na kuondoka naye.


Name

BIASHARA NA UCHUMI BREAKING NEWS BURUDANI ENGLISH NEWS GOSIIP GOSPEL HABARI HABARI PICHA MAGAZETI MAKALA MATUKIO MICHEZO MUSIC VIDEO WAZO LANGU
false
ltr
item
WEPESI MEDIA : KILIMANJARO. Mchungaji ashikiliwa na polisi kwa uchochezi wa kisiasa
KILIMANJARO. Mchungaji ashikiliwa na polisi kwa uchochezi wa kisiasa
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhwiFdnoc6izXFT3dpHNxfRykPx3qo2aaklpj0IAnZ4HlhR2-rGQWvp6Q_QjfVF8-Sr4HaH53HF1xZqyD1oD9DPTOvbwwuMXdFa0mmcnk4Sn_FBc_p-SRdxqZMDBIJrLVEXk1H4q0i3V8ho/s640/28752344_345900449255535_2506176862472896512_n.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhwiFdnoc6izXFT3dpHNxfRykPx3qo2aaklpj0IAnZ4HlhR2-rGQWvp6Q_QjfVF8-Sr4HaH53HF1xZqyD1oD9DPTOvbwwuMXdFa0mmcnk4Sn_FBc_p-SRdxqZMDBIJrLVEXk1H4q0i3V8ho/s72-c/28752344_345900449255535_2506176862472896512_n.jpg
WEPESI MEDIA
https://wepesimedia.blogspot.com/2018/03/kilimanjaro-mchungaji-ashikiliwa-na.html
https://wepesimedia.blogspot.com/
http://wepesimedia.blogspot.com/
http://wepesimedia.blogspot.com/2018/03/kilimanjaro-mchungaji-ashikiliwa-na.html
true
925270315725722404
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All

USIPITWE NA HIZI HAPA CHINI LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy