ajali ya gari iliyosababisha Watoto 20 kupoteza maisha Afrika Kusini Watoto Ishirini wamekufa baada ya basi dogo walilokua wakisafir...
ajali ya gari iliyosababisha Watoto 20 kupoteza maisha Afrika Kusini
Watoto Ishirini wamekufa baada ya basi dogo walilokua wakisafiria kugongana na gari jingine na hatimaye kuwaka moto katika Mji wa Pretoria nchini Afrika Kusini.
Mpaka sasa chanzo cha ajali hiyo bado hakijajulikana.
Picha zilizoonyeshwa katika mitandao na vituo mbalimbali vya Televisheni nchini Afrika Kusini zimeonyesha jinsi basi hilo lilivyoungua vibaya.



