http://wepesimedia.blogspot.com/p/blog-page.html

post-feature-image

Hakika Mungu ni Muweza! Afya ya Wastara Juma Yaimarika, Aandaliwa Mapokezi Makubwa na Bongo Movies


TANGAZA NASISI KWA BEI NAFUU NA UPATE MATOKEO MAZURI KATIKA BIASHARA YAKO.

Taarifa iliyotolewa Afisa Habari, Uenezi , Mahusiano na UMMA wa Chama Cha Waigizaji Kinondoni, Masoud Kaftany imewaomba wasanii na Watan...

Mwanamitindo Tz Calisah kufungua duka la kuuza mimba
'MATUSI' YA MANGE KIMAMBI BAADA YA KUTUHUMIWA KWA MAKOSA YA KIMITANDAO.
Zari Hassan Afanya Kufuru Kwa Pesa za Ivan..Achoshwa na Bata Ndogo Ndogo za Diamond Platnumz

Taarifa iliyotolewa Afisa Habari, Uenezi , Mahusiano na UMMA wa Chama Cha Waigizaji Kinondoni, Masoud Kaftany imewaomba wasanii na Watanzania kwa ujumla wao wajitokeze kumpokea Wastara kesho Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere, Dar.



TAARIFA KWA UMMA
Imetolewa
Tar : 26 /February/2018

YAH : MAPOKEZI

Chama Cha Waigizaji Kinondoni ( Tdfaa Kinondoni ) Kinapenda Kuwajulisha Wana-Filamu na Watanzania kuwa kutakuwa na mapokezi ya ndugu yetu na mwanatasnia mwenzetu, Bi Wastara Juma yatakayofanyika siku ya Alhamis ya tarehe 1 March, 2018 saa saba kamili mchana Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere Dar es Salaam.

Chama kinawajulisha na kuwaomba waigizaji na wadau wote wa tasnia ya filamu tujitokeze kwa wingi kumlaki muigizaji mwenzetu na mpendwa wetu Wastara Juma kwa furaha baada ya kufanikiwa katika matibabu yake nchini India katika Hospitali ya Saifee iliyoko Mjini Mumbai.

UMOJA NI NGUVU NA UTENGANO NI UDHAIFU – PAMOJA TUNAJENGA TASNIA YETU..

Mungu amtie nguvu na amzidishie afya njema, Amin.

Masoud Kaftany
Afisa Habari, Uenezi , Mahusiano na UMMA.
Chama Cha Waigizaji Kinondoni.


Name

BIASHARA NA UCHUMI BREAKING NEWS BURUDANI ENGLISH NEWS GOSIIP GOSPEL HABARI HABARI PICHA MAGAZETI MAKALA MATUKIO MICHEZO MUSIC VIDEO WAZO LANGU
false
ltr
item
WEPESI MEDIA : Hakika Mungu ni Muweza! Afya ya Wastara Juma Yaimarika, Aandaliwa Mapokezi Makubwa na Bongo Movies
Hakika Mungu ni Muweza! Afya ya Wastara Juma Yaimarika, Aandaliwa Mapokezi Makubwa na Bongo Movies
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgn4bAuB1GK-ZyNVeoWPezecG_9whpm0PN4sEv0lkERwvPg7oq2VJWOs5TeXr3My1hyphenhyphenYoVEk0IKKF8y9EMaxbOMf61sdQR4v5AEZ38fB9mtyzvqaFPx7HI6fIrOtcVZQrb3fZttGiu2qvUY/s1600/Wastara-JUma-.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgn4bAuB1GK-ZyNVeoWPezecG_9whpm0PN4sEv0lkERwvPg7oq2VJWOs5TeXr3My1hyphenhyphenYoVEk0IKKF8y9EMaxbOMf61sdQR4v5AEZ38fB9mtyzvqaFPx7HI6fIrOtcVZQrb3fZttGiu2qvUY/s72-c/Wastara-JUma-.jpg
WEPESI MEDIA
https://wepesimedia.blogspot.com/2018/02/hakika-mungu-ni-muweza-afya-ya-wastara.html
https://wepesimedia.blogspot.com/
http://wepesimedia.blogspot.com/
http://wepesimedia.blogspot.com/2018/02/hakika-mungu-ni-muweza-afya-ya-wastara.html
true
925270315725722404
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All

USIPITWE NA HIZI HAPA CHINI LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy