http://wepesimedia.blogspot.com/p/blog-page.html

post-feature-image

Mwanaume Amuua Mpenzi Wake Kisha na Yeye Kujiua


TANGAZA NASISI KWA BEI NAFUU NA UPATE MATOKEO MAZURI KATIKA BIASHARA YAKO.

Binti mmoja aliyefahamika kwa jina la Maria Pius amezikwa leo makaburi ya Mwananyamala kwa Kopa baada ya mpenzi wake kumuua kwa kumpiga n...

Kilichomuua Mkurugenzi wa Jiji la Dar es Salaam, Wilson Kabwe Chatajwa
WABUNGE WAMPA MAKAVU WAZIRI KITWANGA ALIYETUMBULIWA JIPU KWA ULEVI
Mwizi Wa Pikipiki Afariki Dunia Baada ya Kupigwa Nyundo Kichwani Wakati Akijaribu Kupora Pikpiki

Binti mmoja aliyefahamika kwa jina la Maria Pius amezikwa leo makaburi ya Mwananyamala kwa Kopa baada ya mpenzi wake kumuua kwa kumpiga na kitu chenye nchi kali kisha mwili wake kuutupa kwenye shamba huko Chanika jijini Dar es Salaam.


Inasemekana siku ya Jumatatu mwanaume huyo ambaye jina lake halijafahamika alimpiga binti huyo na vitu vyenye ncha kali kwa kinachoelezwa kuwa ni wivu wa mapenzi mpaka alipopoteza maisha kisha muaji huyo aliandika ujumbe unaosema wasimatafute muuaji kwani amemuua yeye, kisha ujumbe huo aliuweka kwenye kifua cha binti huyo pamoja na simu mbili, simu ya mtuhumiwa pamoja na simu ya binti huyo.

Baada ya watu kugundua kuwa binti huyo ameuawa na kutoa taarifa kwenye vyombo vya dola inadaiwa siku ya kesho yake ambayo ni jana mwanaume huyo aliyedaiwa kufanya mauaji hayo naye aliamua kujitoa uhai kwa kujitumbukiza kwenye kisima cha maji na kupoteza maisha.


Baadhi ya ndugu na majirani wa binti huyo waliopo Mwananyamala sehemu ambayo alikuwa akiishi kabla ya kwenda huko Chanika na kuanza maisha na mwanaume huyo wamesema binti huyo alikuwa anaishi na mwanaume huyo Chanika lakini mwanaume huyo walikuwa hawamfahamu kwani hajawahi kujitambulisha kwao na wala binti huyo hajawahi kumpeleka.

Name

BIASHARA NA UCHUMI BREAKING NEWS BURUDANI ENGLISH NEWS GOSIIP GOSPEL HABARI HABARI PICHA MAGAZETI MAKALA MATUKIO MICHEZO MUSIC VIDEO WAZO LANGU
false
ltr
item
WEPESI MEDIA : Mwanaume Amuua Mpenzi Wake Kisha na Yeye Kujiua
Mwanaume Amuua Mpenzi Wake Kisha na Yeye Kujiua
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEglgv93N8zUISJk0Ae6L8CdsozP8a0pO318uunkE_Q-FN_4WhE-7yEbVrcnDnzasbB0JEWn4V3GKZcJTrPNGLJuq-xKiPfqKLqobLr2rL12hF0Us2_XBmdTeMiVjthgoHjnTjObNIHfeT1x/s640/1.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEglgv93N8zUISJk0Ae6L8CdsozP8a0pO318uunkE_Q-FN_4WhE-7yEbVrcnDnzasbB0JEWn4V3GKZcJTrPNGLJuq-xKiPfqKLqobLr2rL12hF0Us2_XBmdTeMiVjthgoHjnTjObNIHfeT1x/s72-c/1.jpg
WEPESI MEDIA
https://wepesimedia.blogspot.com/2017/08/mwanaume-amuua-mpenzi-wake-kisha-na.html
https://wepesimedia.blogspot.com/
http://wepesimedia.blogspot.com/
http://wepesimedia.blogspot.com/2017/08/mwanaume-amuua-mpenzi-wake-kisha-na.html
true
925270315725722404
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All

USIPITWE NA HIZI HAPA CHINI LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy