TAARIFA KWA VYOMBO VYAHABARI Itakumbukwa kuwa mnamo tarehe 12/05/2017 ilitolewa taarifa ya awali kwa umma kuhusu michango ya rambiramb...
TAARIFA KWA VYOMBO VYAHABARI
Itakumbukwa kuwa mnamo tarehe 12/05/2017 ilitolewa taarifa ya awali kwa umma kuhusu michango ya rambirambi na matumizi yake, na ofisi ya Mkuu wa Mkoa na Arusha kuahidikutoa taarifa kamili ya michango namatumizi yake kwa Umma kamasehemu ya mahitaji ya msingi yaUtawala bora.
Awali ya yote nachukua fursa hii kuwashukuru sana wananchi wenzangu na Mkoa wa Arusha, Taasisi za Serikali, Nashırika binafsi, Jamii ya Wafanyabiashara wakiwemo Wasafirishaji, Sekta ya Madini na Sekta ya Utalii, kwa jinsi walivyopokea na kushirikiana na Serikali yaawamu ya 5 katika kuwafariji wafivvakwenye msiba uliosababishwa na ajali ya basi la Shule ya Nsingi ya Lucky Vincent tarehe 06/ 05/ 2017 huko Rhotia WilayaniKaratu.
Msiba Huu Ulileta Simanzi Kubwa Kwa Taifa, Jamii Ya Kimataifa Na Wananchl Wote Wa Mkoa Wa Arusha, Ambapo ”Tulipotelewa Na Wanafunzi 32, Walimu 2 Na Dereva 1, Mungu Azilaze Roho Za Marehemu Mahali Pema Peponi.
Aidha; katika ajali hii kulikuwa na majerul›i 3 ambao walihudumiwa katika Hospitaliyetu ya Rufaa ya Mkoa ya NI. Meru hadi tarehe f.4/ 05/ 2017 walipoondoka kwandege ya Samaritan Purse kwenda Nchíni Marekani kwa matibabu zaidi. Pta,tumehakikishiwa kuwa majeruhi hawa na familia zao watapata matibabu burepamoja na malazi kipindi chote chamatibabu.
Hata hivyo, Baada ya kukamilika kwa Sehemu kubwa ya zoezi la kuhifadhi rnii/iya wapendwaa wetu pamoja na kuhakikisha majeruhi wamepelekwa kwa matibabu nchini Marekani mnamo tarehe 14/05/2017, tumeona siku moja baada ya kukamilisha kazi hiyo kubwa na ngumu, tutoe taarifa ya wazi kwa Umma kuhvsu michango na matumizi yake.
Hili si tukio la Kisiasa, bali ni mtíhani na changamoto kubwa uliozikumba familia zawananchi wetu. Wakati Serikali inahangaikana shida za watu, tunasikitika kuona baadhiya viongozi wa Kisiasa wanahangaika na mitandao ya kijamii. Tumedhamlria kamaSerikali ya awamu ya 5 kuonyesha Uongoziunao acha alama kwenye jambo hili zito na lakihistoria Nkoani kwetu.

NrishoNashakaGamboNKUU WAMKOAARUSHA

UFAFANUZI WA JUNLA WA TAARIFA YA NICHANGO YA RAMBI IANBI KUTOKA TAASISI ZA SERIKALI NA WADAU
1.
Michango ya Serikali
Tshs.102,773,200/=
7..
Michango ya Wadau
Tshs. 158,569,540/=
JUNLA YAMICHANGO
TSHS.261,342,740/=
Katika michango hiyo matumiziyalikuwa kama ifuatavyo:-
1. I Matumizi ya Michango ya Serikali ”
Tshs.98,129,700/=
2.
Matumizi ya michangoya Wadau
Tshs.106,738,005/—
2UMLA MAYUMIZIYOTE NI
TSHS. 204,867,705/=
Fedha iliyopo hadi tarehe 15/05/2017
1. Michango yaSerikali
Tshs.4,643,500/=
2. | Michango ya waJau
Tshs.51,831,535/=
MICHANGO ILIYOENDELEAKUPOKELEWA
TSHS.56,475,035/ «




