http://wepesimedia.blogspot.com/p/blog-page.html

post-feature-image

Waumini wawili wafa maji wakibatizwa


TANGAZA NASISI KWA BEI NAFUU NA UPATE MATOKEO MAZURI KATIKA BIASHARA YAKO.

Waumini wawili wa Kanisa Siloam wamekufa maji wakibatizwa katika Mto Ungwasi wilayani Rombo baada ya mmoja wao kupandisha mapepo na kuwatu...

Sumaye aiangukia Serikali, aomba kukivumilia Chadema
Jaji Mwingine wa Mahakama Kuu AJIUZULU......Rais Magufuli Aridhia
Utapeli unaotumika na mafundi wa Jiji la Arusha Kuwaibia wajenzi.


Waumini wawili wa Kanisa Siloam wamekufa maji wakibatizwa katika Mto Ungwasi wilayani Rombo baada ya mmoja wao kupandisha mapepo na kuwatumbukiza majini.

Mkuu wa Wilaya ya Rombo mkoani Kilimanjaro, Agnes Hokororo amethibitisha tukio hilo lililotokea leo, Julai 16 saa sita mchana. Ubatizo huo ulifanyika kwenye kina kirefu cha mto huo.

Amesema wakati ibada ya ubatizo mmoja wa waumini aliyepandisha mapepo alimtumbukiza mmoja wa watu waliokuwa wakisubiri kubatizwa na mchungaji.

Hokororo amesema muumini mmoja alipoona mwenzake ametumbukizwa majini aliamua kumwokoa, ndipo aliyepandisha pepo alipowashikilia wote wawili ndani ya maji na kuwasababishia kifo.

Amesema watu watatu akiwamo mchungaji wa kanisa hilo lililopo katika Kijiji cha Mandechini wanashikiliwa.

Name

BIASHARA NA UCHUMI BREAKING NEWS BURUDANI ENGLISH NEWS GOSIIP GOSPEL HABARI HABARI PICHA MAGAZETI MAKALA MATUKIO MICHEZO MUSIC VIDEO WAZO LANGU
false
ltr
item
WEPESI MEDIA : Waumini wawili wafa maji wakibatizwa
Waumini wawili wafa maji wakibatizwa
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhUv86YIdGGlYwpi1gVIP2xLTPE2EHrWEeXJGvxlHZIN89HXigHRKYFgyMb9YUXOVPuImQJN-iwenjBFMgU20CFMgdh4-PjUvxzO1OehGeS-vHO7ofAWEXAm_x1s7UETFraNe8chE2K2Y0/s640/ubatizo.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhUv86YIdGGlYwpi1gVIP2xLTPE2EHrWEeXJGvxlHZIN89HXigHRKYFgyMb9YUXOVPuImQJN-iwenjBFMgU20CFMgdh4-PjUvxzO1OehGeS-vHO7ofAWEXAm_x1s7UETFraNe8chE2K2Y0/s72-c/ubatizo.jpg
WEPESI MEDIA
https://wepesimedia.blogspot.com/2017/07/waumini-wawili-wafa-maji-wakibatizwa.html
https://wepesimedia.blogspot.com/
http://wepesimedia.blogspot.com/
http://wepesimedia.blogspot.com/2017/07/waumini-wawili-wafa-maji-wakibatizwa.html
true
925270315725722404
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All

USIPITWE NA HIZI HAPA CHINI LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy