http://wepesimedia.blogspot.com/p/blog-page.html

AMCHOMA KISU MWANAFUNZI KISA EMBE

Kutoka nchini Kenya, mwanafunzi mmoja wa Chuo Kikuu cha Chuka, amechomwa kisu mmiliki wa nyumba aliyopanga baada ya kuchuma maembe ya mw...



Kutoka nchini Kenya, mwanafunzi mmoja wa Chuo Kikuu cha Chuka, amechomwa kisu mmiliki wa nyumba aliyopanga baada ya kuchuma maembe ya mwenye nyumba hiyo kwenye mwembe ulio ndani ya eneo wanaloishi.

Inaelezwa kuwa tukio hilo lilitokea siku ya Jumatano February 21, 2018 na kuthibitishwa na OCPD wa eneo hilo la Meru Kusini Baraza Saiya ambapo ameeleza kuwa mwanafunzi mwingine amepata majeraha ya kisu pia kutoka kwa mwenye nyumba huyo wakati akitaka kumtetea mwenzake.

Saiya amesema kuwa mwenye nyumba huyo pia alichomwa visu na wanafunzi wa chuo hicho kama kulipa kisasi kwa alichomfanyia mwanafunzi mwenzao, na baadaye watatu hao wamepelekwa hospitali kwaajili ya matibabu.

Mwenye nyumba hiyo tayari anashikiliwa na polisi na kwamba anasubiri kufikishwa mahakamani kwa kosa hilo.

COMMENTS


TANGAZA NASISI KWA BEI NAFUU NA UPATE MATOKEO MAZURI KATIKA BIASHARA YAKO.

MAGAZETI$type=sticky$count=4


Name

BIASHARA NA UCHUMI BREAKING NEWS BURUDANI ENGLISH NEWS GOSIIP GOSPEL HABARI HABARI PICHA MAGAZETI MAKALA MATUKIO MICHEZO MUSIC VIDEO WAZO LANGU
false
ltr
item
WEPESI MEDIA : AMCHOMA KISU MWANAFUNZI KISA EMBE
AMCHOMA KISU MWANAFUNZI KISA EMBE
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEisB79VrE5qWnaI4RhAkYOwBuWI9gi-u6XGR3daNBF2YeaB6hphUOGTGfhdCYYsVUAQAYEbzrJaqu9EO7d-y7R4QtyMZkOiL6yWKxmuCzbt1DvGOdEp5_oTtX2373O16yth5A8vKs9NqwVQ/s640/bad-news.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEisB79VrE5qWnaI4RhAkYOwBuWI9gi-u6XGR3daNBF2YeaB6hphUOGTGfhdCYYsVUAQAYEbzrJaqu9EO7d-y7R4QtyMZkOiL6yWKxmuCzbt1DvGOdEp5_oTtX2373O16yth5A8vKs9NqwVQ/s72-c/bad-news.jpg
WEPESI MEDIA
https://wepesimedia.blogspot.com/2018/02/amchoma-kisu-mwanafunzi-kisa-embe.html
https://wepesimedia.blogspot.com/
http://wepesimedia.blogspot.com/
http://wepesimedia.blogspot.com/2018/02/amchoma-kisu-mwanafunzi-kisa-embe.html
true
925270315725722404
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All

USIPITWE NA HIZI HAPA CHINI LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy