http://wepesimedia.blogspot.com/p/blog-page.html

post-feature-image

Vikosi vya Marekani vyaharibu ngome ya Al-Shabaab Somalia


TANGAZA NASISI KWA BEI NAFUU NA UPATE MATOKEO MAZURI KATIKA BIASHARA YAKO.

Rais wa Somalia Mohammed Abdullahi Farmajo amesema moja ya ngome kubwa za wapiganaji wa Al-Shabaab zimeharibiwa vibaya baada ya shambulizi...

Rais Uhuru kenyata apata mpinzani mpya
Polisi wavamia mkutano wa Shekh Ponda
DC ARUSHA MJINI AWATAKA WANANCHI KUJIANDIKISHA VITAMBULISHO VYA TAIFA
Rais wa Somalia Mohammed Abdullahi Farmajo amesema moja ya ngome kubwa za wapiganaji wa Al-Shabaab zimeharibiwa vibaya baada ya shambulizi lililofanywa na vikosi vya Marekani.

Amesema kuwa vikosi maalum vya jeshi la Somalia vinavyopata mafunzo kutoka vile vya Marekani pia vilihusika kuwashambulia Al-Shabaab.

Vikosi vya Marekani vimethibitisha kufanya shambulizi hilo Kusini mwa Somalia, Haijajulikana kama pametokea uharibifu mwingine wowote.

Siku ya Alhamisi vikosi vya Al-Shabaab viliua watu 59 katika shambulizi kwenye mji wa Puntland Kusini mwa Somalia

Name

BIASHARA NA UCHUMI BREAKING NEWS BURUDANI ENGLISH NEWS GOSIIP GOSPEL HABARI HABARI PICHA MAGAZETI MAKALA MATUKIO MICHEZO MUSIC VIDEO WAZO LANGU
false
ltr
item
WEPESI MEDIA : Vikosi vya Marekani vyaharibu ngome ya Al-Shabaab Somalia
Vikosi vya Marekani vyaharibu ngome ya Al-Shabaab Somalia
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhZdDjURzTpWg_Jqb8McUFqc1NYStKvrx30MYcIi4WaBLssMdLE8WILLc9yUqCN1yk_XhK_6hVv_3BPOlRN1MX5FirSeWe72IkYNGXiVhZkt3GszMQlU9o3Ohy_tXad6xxX5dNXBKcuHnc/s640/_96442314_88d6477f-654f-4061-8498-7d1073f16c64.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhZdDjURzTpWg_Jqb8McUFqc1NYStKvrx30MYcIi4WaBLssMdLE8WILLc9yUqCN1yk_XhK_6hVv_3BPOlRN1MX5FirSeWe72IkYNGXiVhZkt3GszMQlU9o3Ohy_tXad6xxX5dNXBKcuHnc/s72-c/_96442314_88d6477f-654f-4061-8498-7d1073f16c64.jpg
WEPESI MEDIA
https://wepesimedia.blogspot.com/2017/06/vikosi-vya-marekani-vyaharibu-ngome-ya.html
https://wepesimedia.blogspot.com/
http://wepesimedia.blogspot.com/
http://wepesimedia.blogspot.com/2017/06/vikosi-vya-marekani-vyaharibu-ngome-ya.html
true
925270315725722404
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All

USIPITWE NA HIZI HAPA CHINI LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy