http://wepesimedia.blogspot.com/p/blog-page.html

post-feature-image

Umeisikia hii, Kiongozi wa Makhirikhiri Aokoka!


TANGAZA NASISI KWA BEI NAFUU NA UPATE MATOKEO MAZURI KATIKA BIASHARA YAKO.

 Kiongozi wa kundi maarufu la Nyimbo za Asili la Makhirikhiri la nchini Botswana, Mosesi Malapela a.k.a Shumba Ratshega, ametangaza kumrud...

RUBANI AFARIKI DUNIA BAADA YA NDEGE YAKE KUANGUKA ARUSHA
UHURU KENYATTA ATANGAZWA KUWA MSHINDI WA URAIS KENYA
Mbowe Afunguka Mazito Sakata la Madiwani wa CHADEMA Kuhamia CCM

 Kiongozi wa kundi maarufu la Nyimbo za Asili la Makhirikhiri la nchini Botswana, Mosesi Malapela a.k.a Shumba Ratshega, ametangaza kumrudia Mungu baada ya kuokoka na kuanza kuhubiri neno la wokovu.

Habari za uhakika kutoka kwa Msemaji wa Kundi la Makhirikhiri Tanzania, Livingstone Mkoi zilieleza kuwa, kwa sasa kiongozi huyo amezaliwa upya baada ya kuachana na kila kitu cha kidunia na kuamua kumtumikia Mungu katika maisha yake.

Livingstone alifunguka: “Ni kweli Shumba amenieleza kuwa niwaambie Watanzania kuwa anawaheshimu na kuwakumbuka kutokana na mapokezi makubwa waliyompa mwaka 2010 alipofika Tanzania kufanya matamasha yake yaliyoandaliwa na Kituo cha Radio Times FM na kumpa mafanikio makubwa.

“Shumba anasema kuwa katika maisha yake mapya ya utumishi wa Mungu amekuwa akiiombea sana Tanzania pamoja na Rais Dk. John Pombe Magufuli.

“Kuhusu kuimba anasema ataendelea kuimba tu na kundi lake halitakufa kwa vile ule ni utamaduni wao wa asili.”

Mkoi aliongeza: “Tayari mtumishi huyo ameanza ujenzi wa kanisa lake kubwa kwenye mji mkuu wa nchi hiyo (Gaborone) kwa ajili ya kuhubiri Neno la Mungu.

Name

BIASHARA NA UCHUMI BREAKING NEWS BURUDANI ENGLISH NEWS GOSIIP GOSPEL HABARI HABARI PICHA MAGAZETI MAKALA MATUKIO MICHEZO MUSIC VIDEO WAZO LANGU
false
ltr
item
WEPESI MEDIA : Umeisikia hii, Kiongozi wa Makhirikhiri Aokoka!
Umeisikia hii, Kiongozi wa Makhirikhiri Aokoka!
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgcKPkza1pKoQVM4CRmKfja02m153C1h4UyoIS0-lH3dKsIbqI7yTmkJ10GPx2k1erxKy27VI7r3avKA_zB5uB-QrcTU_o_a2GzAx_WBag1f54gRDorz8X6ScCVv6GqqKfwy96MnYzllRtb/s640/MOSES-AKHIRIKIRI-1.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgcKPkza1pKoQVM4CRmKfja02m153C1h4UyoIS0-lH3dKsIbqI7yTmkJ10GPx2k1erxKy27VI7r3avKA_zB5uB-QrcTU_o_a2GzAx_WBag1f54gRDorz8X6ScCVv6GqqKfwy96MnYzllRtb/s72-c/MOSES-AKHIRIKIRI-1.jpg
WEPESI MEDIA
https://wepesimedia.blogspot.com/2017/04/umeisikia-hii-kiongozi-wa-makhirikhiri.html
https://wepesimedia.blogspot.com/
http://wepesimedia.blogspot.com/
http://wepesimedia.blogspot.com/2017/04/umeisikia-hii-kiongozi-wa-makhirikhiri.html
true
925270315725722404
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All

USIPITWE NA HIZI HAPA CHINI LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy