http://wepesimedia.blogspot.com/p/blog-page.html

post-feature-image

MAKONDA: Rais Magufuli ni zawadi kutoka kwa Mungu inawezekana usielewe lakini ipo siku utaelewa


TANGAZA NASISI KWA BEI NAFUU NA UPATE MATOKEO MAZURI KATIKA BIASHARA YAKO.

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda amesema kuwa Rais Magufuli kuwa ni zawadi kutoka kwa Mungu huku akisema kuwa watu inawezek...

Dk Shein hakuna wa kumuondoa madarakani
Msikilize, AUDIO: Lowassa amtaka Rais Dkt Magufuli kufuta kauli yake
Taarifa ya TANESCO kuhusu kuzimwa kwa mfumo wa LUKU nchi nzima



Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda amesema kuwa Rais Magufuli kuwa ni zawadi kutoka kwa Mungu huku akisema kuwa watu inawezekana wasielewe lakini ipo siku moja wataelewa.

Alitoa kauli hiyo Jumatano hii wakati akizungumza na wadau mbalimbali waliohudhuria hafla yake ya kutimiza mwaka mmoja tangu awe mkuu wa mkoa huo.

Alisema “Naomba nifunge kwa kumshukuru Rais Joseph Pombe Magufuli ni zawadi kutoka kwa Mungu, Rais Magufuli ni zawadi kutoka kwa Mungu inawezekana usielewe lakini kuna siku moja utaelewa na mara nyingi watu tunaopewa na Mungu huwa hatuwaelewi mpaka wanapomaliza muda wao ndiyo tunaanza kusema eeh hivi kumbe alikuwa na kusudio jema, kwasababu kuja kuelewa kuwa alikuwa na kusudio jema kuelewa inachukua muda , lakini mimi naamini Rais wetu ni zawadi kutoka kwa Mungu.”

“Rais ambaye hana kitu ambacho anakificha moyoni anakwambia ukweli unaokuhusu wewe , hakuchekei pale unapomuudhi na ameamua kunyima na serikali yake kwaajili ya wananchi unataka Mungu akufanyie nini tena ,Dar es salaam mna taka Mungu awafanyie nini tena. Ukiona wale wanaosema ooh Rais jua tu wameguswa maslahi yao kwahiyo watu walizoea kula kula kwahiyo wakishakanyagwa kule wanapiga kelele,” aliongeza Makonda.

Na Emmy Mwaipopo

Name

BIASHARA NA UCHUMI BREAKING NEWS BURUDANI ENGLISH NEWS GOSIIP GOSPEL HABARI HABARI PICHA MAGAZETI MAKALA MATUKIO MICHEZO MUSIC VIDEO WAZO LANGU
false
ltr
item
WEPESI MEDIA : MAKONDA: Rais Magufuli ni zawadi kutoka kwa Mungu inawezekana usielewe lakini ipo siku utaelewa
MAKONDA: Rais Magufuli ni zawadi kutoka kwa Mungu inawezekana usielewe lakini ipo siku utaelewa
http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2017/03/makonda.jpg
WEPESI MEDIA
https://wepesimedia.blogspot.com/2017/03/makonda-rais-magufuli-ni-zawadi-kutoka.html
https://wepesimedia.blogspot.com/
http://wepesimedia.blogspot.com/
http://wepesimedia.blogspot.com/2017/03/makonda-rais-magufuli-ni-zawadi-kutoka.html
true
925270315725722404
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All

USIPITWE NA HIZI HAPA CHINI LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy