http://wepesimedia.blogspot.com/p/blog-page.html

Msikilize, AUDIO: Lowassa amtaka Rais Dkt Magufuli kufuta kauli yake

Aliyekuwa Waziri Mkuu na Mjumbe wa Kamati Kuu ya CHADEMA, Edward Lowassa, amemtaka Rais Dkt. John Magufuli kuifuta kauli yake ya kuwataka...




Aliyekuwa Waziri Mkuu na Mjumbe wa Kamati Kuu ya CHADEMA, Edward Lowassa, amemtaka Rais Dkt. John Magufuli kuifuta kauli yake ya kuwataka wabunge wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) wasishirikiane na wabunge wa vyama vya upinzani.

Alizungumza hayo jana kwenye ziara ya viongozi wa CHADEMA katika mkoa wa Pwani na Dar es Salaam. Lowassa alidai kuwa kauli hiyo ya Rais Dkt. Magufuli inabomoa misingi ya amani iliyowekwa na waasisi wa taifa letu.

Alisema “Namuomba Rais aisahihishe kauli hiyo na nawaomba watanzania tukatae kugawanywa… Tusikuballi, nchi hii ni yetu sote hakuna mtu mwenye haki miliki hapa. Ikienda vibaya tutaangamia wote na ikienda vizuri tutafaidi wote, kwahiyo tukatae.”

Aliongeza kuwa watanzania wamekuwa wakiishi bila kubaguana kwa misingi ya dini, rangi au ukabila na kukumbushia kauli iliyowahi kutolewa na baba wa taifa kuwa ubaguzi ni sawa na kula nyama ya mtu, ukishakula hutotaka kuiacha.

Katika kikao hicho alizungumzia pia juu ya hali ya maisha na uchumi kuwa mgumu, bei za bidhaa kupanda na mipango mibovu ilivyosababisha sekta binafsi kuyumba hali iliyosababisha kuongezeka kwa watu wasio na ajira nchini.


==>Msikilize Lowassa hapo chini akiongea

COMMENTS


TANGAZA NASISI KWA BEI NAFUU NA UPATE MATOKEO MAZURI KATIKA BIASHARA YAKO.

MAGAZETI$type=sticky$count=4


Name

BIASHARA NA UCHUMI BREAKING NEWS BURUDANI ENGLISH NEWS GOSIIP GOSPEL HABARI HABARI PICHA MAGAZETI MAKALA MATUKIO MICHEZO MUSIC VIDEO WAZO LANGU
false
ltr
item
WEPESI MEDIA : Msikilize, AUDIO: Lowassa amtaka Rais Dkt Magufuli kufuta kauli yake
Msikilize, AUDIO: Lowassa amtaka Rais Dkt Magufuli kufuta kauli yake
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgAACal3qxlhvnTvCvwueIkMNzDi7EmD00VbO2eIEhY5bJIDggjuWi3DBXsYgNNr_wKUKZui4BbZHyJBORHUFR96GVueO_iT6rGAt7-HMMaGuJDOswlq3Dno_RDq21rJWKLJn32_KIVzRVV/s640/2.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgAACal3qxlhvnTvCvwueIkMNzDi7EmD00VbO2eIEhY5bJIDggjuWi3DBXsYgNNr_wKUKZui4BbZHyJBORHUFR96GVueO_iT6rGAt7-HMMaGuJDOswlq3Dno_RDq21rJWKLJn32_KIVzRVV/s72-c/2.jpg
WEPESI MEDIA
https://wepesimedia.blogspot.com/2017/03/msikilize-audio-lowassa-amtaka-rais-dkt.html
https://wepesimedia.blogspot.com/
http://wepesimedia.blogspot.com/
http://wepesimedia.blogspot.com/2017/03/msikilize-audio-lowassa-amtaka-rais-dkt.html
true
925270315725722404
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All

USIPITWE NA HIZI HAPA CHINI LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy