http://wepesimedia.blogspot.com/p/blog-page.html

Madereva wa malori waliotekwa DR Congo waokolewa

Madereva wa malori kutoka Tanzania waliokuwa wametekwa katika nchi ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo hatimaye wameokolewa na vikosi vy...





Madereva wa malori kutoka Tanzania waliokuwa wametekwa katika nchi ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo hatimaye wameokolewa na vikosi vya jeshi la nchi hiyo.


Waziri wa mambo ya ndani wa nchi hiyo amezungumza na shirika la utangazaji la BBC na kusema wote wameokolewa na wako salama


Taarifa iliyotolewa jana na Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki ilieleza kuwa watekaji hao ni kikundi cha waasi cha MaiMai ambao baada ya kuyateka magari 8 toka Tanzania , waliwashusha madereva na kuwapeleka porini na kisha kuteketeza kwa moto malori manne ambayo yote ni ya Bw. Dewji.

Waasi hao walioa saa 24 kuanzia jana saa 10 jioni walipwe fedha kiasi cha Dola za Kimarekani 4,000 kwa kila dereva ili waweze kuwaachia

COMMENTS


TANGAZA NASISI KWA BEI NAFUU NA UPATE MATOKEO MAZURI KATIKA BIASHARA YAKO.

MAGAZETI$type=sticky$count=4


Name

BIASHARA NA UCHUMI BREAKING NEWS BURUDANI ENGLISH NEWS GOSIIP GOSPEL HABARI HABARI PICHA MAGAZETI MAKALA MATUKIO MICHEZO MUSIC VIDEO WAZO LANGU
false
ltr
item
WEPESI MEDIA : Madereva wa malori waliotekwa DR Congo waokolewa
Madereva wa malori waliotekwa DR Congo waokolewa
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgJXzM_rMtYIGydEn09DIkABV2-z-flmaTPh0CXHpO_UvprcwN2N3oDSJ8L30EAMCAuw8T3DDNDIXgkLHqR4mPbI24VehQz73MygGCeFg79sf0drtz1SIYMbiIH0bF9CW3AxlFS_pOEyTY/s640/2.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgJXzM_rMtYIGydEn09DIkABV2-z-flmaTPh0CXHpO_UvprcwN2N3oDSJ8L30EAMCAuw8T3DDNDIXgkLHqR4mPbI24VehQz73MygGCeFg79sf0drtz1SIYMbiIH0bF9CW3AxlFS_pOEyTY/s72-c/2.jpg
WEPESI MEDIA
https://wepesimedia.blogspot.com/2016/09/watanzania-wenzetu-waliokuwa-wametekwa.html
https://wepesimedia.blogspot.com/
http://wepesimedia.blogspot.com/
http://wepesimedia.blogspot.com/2016/09/watanzania-wenzetu-waliokuwa-wametekwa.html
true
925270315725722404
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All

USIPITWE NA HIZI HAPA CHINI LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy