http://wepesimedia.blogspot.com/p/blog-page.html

post-feature-image

Polepole Ateuliwa Kuwa Katibu wa Itikadi na Uenezi CCM Kuchukua Nafasi ya Nape Nnauye


TANGAZA NASISI KWA BEI NAFUU NA UPATE MATOKEO MAZURI KATIKA BIASHARA YAKO.

Mkuu wa Wilaya ya Ubungo, Humphrey PolePole ameteuliwa na Halmashauri Kuu ya Taifa ya Chama cha Mapinduzi (CCM) kuwa Katibu wa Halmashaur...

BINTI ABAKWA HADI KUFA
BREAKING NEWS: Mwanasheria Mkuu wa CHADEMA Tundu Lissu amepigwa Risasi
SPIKA NDUGAI: WABUNGE WANAOTAJWA KATIKA UFISADI WASICHAGULIWE TENA KUGOMBEA UBUNGE

Mkuu wa Wilaya ya Ubungo, Humphrey PolePole ameteuliwa na Halmashauri Kuu ya Taifa ya Chama cha Mapinduzi (CCM) kuwa Katibu wa Halmashauri Kuu Itikadi na Uenezi kuchukua nafasi ya Nape Nnauye


Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na chama hicho kupitia ukurasa wake wa Twitter zinaeleza kuwa kikao chaHalmashauri Kuu ya Taifa kimemteua Polepole kushika wadhifa huo.


Kikao cha Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM kimefanyika leo ambapo miongoni mwa mambo mengi yatakayojadiliwa ni pamoja na tathmini ya uchaguzi mkuu wa mwaka 2015.

Kikao cha Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) kimemteua Ndg @hpolepole kuwa Katibu wa Halmashauri Kuu Itikadi na Uenezi. — Chama Cha Mapinduzi (@ccm_tanzania) December 13, 2016

Name

BIASHARA NA UCHUMI BREAKING NEWS BURUDANI ENGLISH NEWS GOSIIP GOSPEL HABARI HABARI PICHA MAGAZETI MAKALA MATUKIO MICHEZO MUSIC VIDEO WAZO LANGU
false
ltr
item
WEPESI MEDIA : Polepole Ateuliwa Kuwa Katibu wa Itikadi na Uenezi CCM Kuchukua Nafasi ya Nape Nnauye
Polepole Ateuliwa Kuwa Katibu wa Itikadi na Uenezi CCM Kuchukua Nafasi ya Nape Nnauye
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgOxHVRzj0o8XIA7yOfx7MroDakxCFHgQEWbnd6cFPOo4zmOJSxKDBNzDKkJTwcz4PjgGAI6Y03WXWKhojIWvwNZ8yTlPEeQiHVlQzuTCr9LjDn9EGDgELachoixr5_C_wem-GS6899gfs/s640/1.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgOxHVRzj0o8XIA7yOfx7MroDakxCFHgQEWbnd6cFPOo4zmOJSxKDBNzDKkJTwcz4PjgGAI6Y03WXWKhojIWvwNZ8yTlPEeQiHVlQzuTCr9LjDn9EGDgELachoixr5_C_wem-GS6899gfs/s72-c/1.jpg
WEPESI MEDIA
https://wepesimedia.blogspot.com/2016/12/polepole-ateuliwa-kuwa-katibu-wa.html
https://wepesimedia.blogspot.com/
http://wepesimedia.blogspot.com/
http://wepesimedia.blogspot.com/2016/12/polepole-ateuliwa-kuwa-katibu-wa.html
true
925270315725722404
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All

USIPITWE NA HIZI HAPA CHINI LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy