http://wepesimedia.blogspot.com/p/blog-page.html

SPIKA NDUGAI: WABUNGE WANAOTAJWA KATIKA UFISADI WASICHAGULIWE TENA KUGOMBEA UBUNGE

Spika wa bunge Job Ndugai amesema kutokana na ripoti nyingi za ufisadi kuwahusisha viongozi mbalimbali wa siasa wakiwemo wabunge waliowa...



Spika wa bunge Job Ndugai amesema kutokana na ripoti nyingi za ufisadi kuwahusisha viongozi mbalimbali wa siasa wakiwemo wabunge waliowahi kuwa mawaziri, ipo haja ya kuandikia barua vyama vyao ili visiwapitishe kugombea.

Hayo ameyasema leo Ikulu jijini Dar es salaam wakati wa hafla ya kukabidhi ripoti mbili za bunge kwa Rais Magufuli.

"Vyama vya siasa vina nguvu sana ipo haja ya kuviandikia barua, kwa sababu wananchi hawana makosa kuwachagua kwa sababu hawajui" ,amesema Ndugai.

COMMENTS


TANGAZA NASISI KWA BEI NAFUU NA UPATE MATOKEO MAZURI KATIKA BIASHARA YAKO.

MAGAZETI$type=sticky$count=4


Name

BIASHARA NA UCHUMI BREAKING NEWS BURUDANI ENGLISH NEWS GOSIIP GOSPEL HABARI HABARI PICHA MAGAZETI MAKALA MATUKIO MICHEZO MUSIC VIDEO WAZO LANGU
false
ltr
item
WEPESI MEDIA : SPIKA NDUGAI: WABUNGE WANAOTAJWA KATIKA UFISADI WASICHAGULIWE TENA KUGOMBEA UBUNGE
SPIKA NDUGAI: WABUNGE WANAOTAJWA KATIKA UFISADI WASICHAGULIWE TENA KUGOMBEA UBUNGE
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgvnL0M8EC_Gl2wawC9yAH47WtlLMYAjUJ6NKce8qj3oRBYYfB9eIjRHxfFYm7HFPb8o9kKRcm4BuFbv9KL2ywi_GVJpxkE35BJrUGOJ_Um-qHh4-7DUZB8sIkC_90qVYvY8FiL_EHbxcg/s640/jobndugai22.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgvnL0M8EC_Gl2wawC9yAH47WtlLMYAjUJ6NKce8qj3oRBYYfB9eIjRHxfFYm7HFPb8o9kKRcm4BuFbv9KL2ywi_GVJpxkE35BJrUGOJ_Um-qHh4-7DUZB8sIkC_90qVYvY8FiL_EHbxcg/s72-c/jobndugai22.jpg
WEPESI MEDIA
https://wepesimedia.blogspot.com/2017/09/spika-ndugai-wabunge-wanaotajwa-katika.html
https://wepesimedia.blogspot.com/
http://wepesimedia.blogspot.com/
http://wepesimedia.blogspot.com/2017/09/spika-ndugai-wabunge-wanaotajwa-katika.html
true
925270315725722404
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All

USIPITWE NA HIZI HAPA CHINI LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy