http://wepesimedia.blogspot.com/p/blog-page.html

post-feature-image

Ubalozi wa Marekani nchini Kenya wafungwa baada ya Mtu Mmoja Kuuawa kwa Risasi Nje ya Ubalozi Huo


TANGAZA NASISI KWA BEI NAFUU NA UPATE MATOKEO MAZURI KATIKA BIASHARA YAKO.

Jeshi la Polisi jijini Nairobi nchini Kenya linafanya uchunguzi kuweza kubaini kama mtu mmoja aliyeuawa jana karibu na ubalozi wa Marekani a...

WENYE VYETI VYA DARASA LA SABA WAANZA KUONDOLEWA KAZINI
Mwenyekiti wa Tadea Mzee Chipaka Afariki Dunia
Bei mpya za mafuta zilizoanza kutumika leo Agosti 2 katika mikoa yote



Jeshi la Polisi jijini Nairobi nchini Kenya linafanya uchunguzi kuweza kubaini kama mtu mmoja aliyeuawa jana karibu na ubalozi wa Marekani alikuwa amekula njama za kushirikiana na watu wengine kufanya shambulio.


Mtu huyo (24) aliuawa jana asubuhi nje ya ubalozi wa Marekani Nairobi baada ya kumshambulia mlinzi kwa kumchoma na kisu tumboni ndipo Afisa mwingine wa Polisi akampiga risasi kichwani.

Inadaiwa kuwa kijana huyo alikuwa akilazimisha kuingia ndani ya ubalozi huo, na mlinzi alipomzuia ndipo akamchoma kwa kisu.


Maafisa watano wa FBI na maafisa wa Polisi nchini Kenya walikuwa karibu na eneo la tukio ambapo ni nje kidogo ya ubalozi wa Marekani.

Tukio hilo limepelekea ubalozi wa Marekani kufungwa kwa muda hadi hapo hali ya usalama itakaporejea katika hali yake.





Name

BIASHARA NA UCHUMI BREAKING NEWS BURUDANI ENGLISH NEWS GOSIIP GOSPEL HABARI HABARI PICHA MAGAZETI MAKALA MATUKIO MICHEZO MUSIC VIDEO WAZO LANGU
false
ltr
item
WEPESI MEDIA : Ubalozi wa Marekani nchini Kenya wafungwa baada ya Mtu Mmoja Kuuawa kwa Risasi Nje ya Ubalozi Huo
Ubalozi wa Marekani nchini Kenya wafungwa baada ya Mtu Mmoja Kuuawa kwa Risasi Nje ya Ubalozi Huo
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjfaT0b7VqawNgKSrtkmlnwQazy3mveJusDIzB-Qf63q0wBHH_k6ALdKH9W28JwJBsOd5Ohy7Bfasy9LT-8LpfThBPs_d-e9YEPDNssiCDEaZUkQa0lmxiKjhh9GHaWOzre-Fwy0x6CIX06/s640/1.png
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjfaT0b7VqawNgKSrtkmlnwQazy3mveJusDIzB-Qf63q0wBHH_k6ALdKH9W28JwJBsOd5Ohy7Bfasy9LT-8LpfThBPs_d-e9YEPDNssiCDEaZUkQa0lmxiKjhh9GHaWOzre-Fwy0x6CIX06/s72-c/1.png
WEPESI MEDIA
https://wepesimedia.blogspot.com/2016/10/ubalozi-wa-marekani-nchini-kenya.html
https://wepesimedia.blogspot.com/
http://wepesimedia.blogspot.com/
http://wepesimedia.blogspot.com/2016/10/ubalozi-wa-marekani-nchini-kenya.html
true
925270315725722404
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All

USIPITWE NA HIZI HAPA CHINI LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy