http://wepesimedia.blogspot.com/p/blog-page.html

Watumishi Wawili Wa Tra Wakamatwa Kwa Tuhuma Za Kujihusisha Na Biashara Haramu Ya Dawa Za Kulevya

Oparesheni za kuwakamata watuhumiwa wanaojihusisha na dawa za kulevya nchini imefanikiwa kukamata watuhumiwa wawili waliohusika kupitisha...


Oparesheni za kuwakamata watuhumiwa wanaojihusisha na dawa za kulevya nchini imefanikiwa kukamata watuhumiwa wawili waliohusika kupitisha kemikali bashirifu za dawa hizo aina ya ephedrine huku wengine wawili wakiwa bado wanasakwa na polisi

Akitoa taarifa hiyo leo Jijini Dar es Salaam Kamishna wa Oparesheni wa Mamlaka ya Kuzuia na Kupambana na Dawa za Kulevya Bw. Mihayo Msikhela amesema watuhumiwa hao ni wafanyakazi wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) na wamegundulika baada ya kufanya uchunguzi wa ripoti ya majina iliyokabidhiwa kwao na uongozi wa mkoa wa Dar es Salaam.

Kamishan Msikhela amesema taratibu zinazotumika kwa sasa za kuwakamata watuhumiwa wa madawa ya kulevya ni za kiusalama zaidi ili kuzuia watuhumiwa wasipoteze ushahidi.

Aidha, Kamishna Msikhela amesema katika operesheni ya kupambana na dawa za kulevya inayoendelea nchini mikoa ya Simiyu, Mara na Lindi inaongoza katika uteketezaji wa madawa ya kulevya ya bangi na mirungi kwa kipindi cha siku nne..


COMMENTS


TANGAZA NASISI KWA BEI NAFUU NA UPATE MATOKEO MAZURI KATIKA BIASHARA YAKO.

MAGAZETI$type=sticky$count=4


Name

BIASHARA NA UCHUMI BREAKING NEWS BURUDANI ENGLISH NEWS GOSIIP GOSPEL HABARI HABARI PICHA MAGAZETI MAKALA MATUKIO MICHEZO MUSIC VIDEO WAZO LANGU
false
ltr
item
WEPESI MEDIA : Watumishi Wawili Wa Tra Wakamatwa Kwa Tuhuma Za Kujihusisha Na Biashara Haramu Ya Dawa Za Kulevya
Watumishi Wawili Wa Tra Wakamatwa Kwa Tuhuma Za Kujihusisha Na Biashara Haramu Ya Dawa Za Kulevya
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjrb9rX-DycmuiEyVZA7-BA4lIkrimN4X1IUZ5D6FvomcXN3ZyGrKD01aLYz2Zwa6pTijkkrGZrynepyD-fxPtDlGzUiWdK2PafQy8Cz_bVPTyhD7rIqQCt3L3D8fxFmJ_DM8D-N4Q6-Epl/s640/3.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjrb9rX-DycmuiEyVZA7-BA4lIkrimN4X1IUZ5D6FvomcXN3ZyGrKD01aLYz2Zwa6pTijkkrGZrynepyD-fxPtDlGzUiWdK2PafQy8Cz_bVPTyhD7rIqQCt3L3D8fxFmJ_DM8D-N4Q6-Epl/s72-c/3.jpg
WEPESI MEDIA
https://wepesimedia.blogspot.com/2017/02/watumishi-wawili-wa-tra-wakamatwa-kwa.html
https://wepesimedia.blogspot.com/
http://wepesimedia.blogspot.com/
http://wepesimedia.blogspot.com/2017/02/watumishi-wawili-wa-tra-wakamatwa-kwa.html
true
925270315725722404
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All

USIPITWE NA HIZI HAPA CHINI LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy