http://wepesimedia.blogspot.com/p/blog-page.html

post-feature-image

Watoto wa Tanzania wana afya nzuri ya maungo duniani


TANGAZA NASISI KWA BEI NAFUU NA UPATE MATOKEO MAZURI KATIKA BIASHARA YAKO.

Watoto wa Tanzania wana afya nzuri ya maungo kuliko wenzao duniani Taifa la Tanzania ndilo lenye watoto wenye afya nzuri ya maungo duniani...

Video: Safari hii hatutakuwa wa kulialia- Chadema
Jenerali wa Jeshi ampa Rais Kabila siku 45 aachie Urais, asambaza video
Mgombea Ubunge CHADEMA Jimbo la Kinondoni Atoa Neno Zito Akirudisha Fomu Leo
Watoto wa Tanzania wana afya nzuri ya maungo kuliko wenzao duniani

Taifa la Tanzania ndilo lenye watoto wenye afya nzuri ya maungo duniani, kulingana na utafiti uliofanywa na wanasayansi wa Australia.

Viwango vya afya ya maungo ya watoto milioni 1.1 walio kati ya umri wa miaka tisa hadi 17 kutoka mataifa 50 vilifanyiwa ukaguzi.

Watoto hao walifanyiwa zoezi la kukimbia umbali wa mita 20,ambalo hukagua afya yao ya maungo.

Grant Tomkinson, mmoja ya watafiti wakuu wa chuo cha Kusini mwa Australia ameiambia BBC kwamba watoto wa Tanzania waliibuka washindi kutokana na utendaji wao.

Name

BIASHARA NA UCHUMI BREAKING NEWS BURUDANI ENGLISH NEWS GOSIIP GOSPEL HABARI HABARI PICHA MAGAZETI MAKALA MATUKIO MICHEZO MUSIC VIDEO WAZO LANGU
false
ltr
item
WEPESI MEDIA : Watoto wa Tanzania wana afya nzuri ya maungo duniani
Watoto wa Tanzania wana afya nzuri ya maungo duniani
http://ichef-1.bbci.co.uk/news/660/cpsprodpb/1670/production/_91344750_physicalfitness.jpg
WEPESI MEDIA
https://wepesimedia.blogspot.com/2016/09/watoto-wa-tanzania-wana-afya-nzuri-ya.html
https://wepesimedia.blogspot.com/
http://wepesimedia.blogspot.com/
http://wepesimedia.blogspot.com/2016/09/watoto-wa-tanzania-wana-afya-nzuri-ya.html
true
925270315725722404
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All

USIPITWE NA HIZI HAPA CHINI LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy