http://wepesimedia.blogspot.com/p/blog-page.html

post-feature-image

Stamina ailalamikia Walk It Off ya Fid Q,asema kapunjwa mistari.


TANGAZA NASISI KWA BEI NAFUU NA UPATE MATOKEO MAZURI KATIKA BIASHARA YAKO.

Rapa Stamina ameilalamikia rekodi mpya ya Fid Q ya Walk It Off nakusema ni kazi ...

Muonekano mpya wa Barnabar
Mr. Nice awapa pongezi BASATA
Darassa apotezwa na dawa za kulevya ?


Rapa Stamina ameilalamikia rekodi mpya ya Fid Q ya Walk It Off nakusema ni kazi nzuri ila amenyimwa mistari ya kutosha kutoka kwa Fid.
Kwenye interview na sammisago, Stamina anasema “Nimeukubali wimbo sababu lengo lilikuwa kutoboa kwenye level za kimataifa ambako amefanikiwa sababu ngoma imetoboa huko ila mimi binafsi kuna kitu nimenyimwa, mistaari michache sana, mistari nane kwenye vesi hizo mbili haitoshi kwenye wimbo wa Fid Q, ila video nampa asilimia 100“.
Wimbo wa Walk It Off wa Fid Q ulitambulishwa mpaka MTV Base kama msanii Mpya sababu ilikuwa mara ya kwanza kwa Fid Q kuchezwa kwenye kituo hicho na mpaka sasa ni miongoni mwa video bora zilizochezwa MTV Base Africa mwaka huu.

Name

BIASHARA NA UCHUMI BREAKING NEWS BURUDANI ENGLISH NEWS GOSIIP GOSPEL HABARI HABARI PICHA MAGAZETI MAKALA MATUKIO MICHEZO MUSIC VIDEO WAZO LANGU
false
ltr
item
WEPESI MEDIA : Stamina ailalamikia Walk It Off ya Fid Q,asema kapunjwa mistari.
Stamina ailalamikia Walk It Off ya Fid Q,asema kapunjwa mistari.
http://i0.wp.com/sammisago.com/wp-content/uploads/2016/07/stamina.jpg?resize=660%2C355
WEPESI MEDIA
https://wepesimedia.blogspot.com/2016/07/stamina-ailalamikia-walk-it-off-ya-fid.html
https://wepesimedia.blogspot.com/
http://wepesimedia.blogspot.com/
http://wepesimedia.blogspot.com/2016/07/stamina-ailalamikia-walk-it-off-ya-fid.html
true
925270315725722404
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All

USIPITWE NA HIZI HAPA CHINI LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy