http://wepesimedia.blogspot.com/p/blog-page.html

post-feature-image

Richard wa Big Brother afunguka kuhusu ukimya wake,alikuwa yuko nchi gani na alifanya nini,


TANGAZA NASISI KWA BEI NAFUU NA UPATE MATOKEO MAZURI KATIKA BIASHARA YAKO.

Mshindi wa kwanza wa shindano la Big Brother Africa II mwaka 2007 Richard Bezuid...

Madee kuacha mziki?
MSANII CHID BENZ AKAMATWA TENA NA DAWA ZA KULEVYA
Fid Q Ampinga Waziri Mwakyembe
Mshindi wa kwanza wa shindano la Big Brother Africa II mwaka 2007 Richard Bezuidenhout ametoa sababu za yeye kutoonekana kwenye tasnia ya burudani hapa Bongo.Mshindi huyo wa BBA ambaye pia aliwahi kutamba kwenye tasnia ya filamu nchini amesema ukimya wake ni kutokana na yeye kutokwepo nchini kwa muda mrefu.
Akiongea na Sam Missago kwenye kipindi cha FNL Richard amesema kuwa kwa sasa makazi yake yamehamia nchini canada ambapo pia anajihusisha na shughuli za uigizaji na tayari ameshafanya filamu yake akiwa nchini humo ambayo amekuja kuitangaza nchini Tanzania.
Nilipotea kidogo kwa sababu nilihamishia makazi yangu Canada na huko pia nilikuwa najihusisha na filamu zaidi,sasa hivi nimekuja Tanzania kuitangaza muvi yangu nliyoifanya huko ambayo imechanganya watu wa nchi mabalimbali kama Kongo,Kenya,Rwanda na Burundi inayoitwa Mchumba sio ATM” alifunguka Richard ambaye aliweka wazi kuwa ukiachana na kazi zake za filamu binafsi ameshafanya usaili na kupata shavu la kuonekana kwenye moja ya Tv series za nchini humo ambao kwa sasa iko kwenye hatua za mwanzo.

Name

BIASHARA NA UCHUMI BREAKING NEWS BURUDANI ENGLISH NEWS GOSIIP GOSPEL HABARI HABARI PICHA MAGAZETI MAKALA MATUKIO MICHEZO MUSIC VIDEO WAZO LANGU
false
ltr
item
WEPESI MEDIA : Richard wa Big Brother afunguka kuhusu ukimya wake,alikuwa yuko nchi gani na alifanya nini,
Richard wa Big Brother afunguka kuhusu ukimya wake,alikuwa yuko nchi gani na alifanya nini,
http://i0.wp.com/sammisago.com/wp-content/uploads/2016/07/chad.png?resize=570%2C400
WEPESI MEDIA
https://wepesimedia.blogspot.com/2016/07/richard-wa-big-brother-afunguka-kuhusu.html
https://wepesimedia.blogspot.com/
http://wepesimedia.blogspot.com/
http://wepesimedia.blogspot.com/2016/07/richard-wa-big-brother-afunguka-kuhusu.html
true
925270315725722404
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All

USIPITWE NA HIZI HAPA CHINI LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy