http://wepesimedia.blogspot.com/p/blog-page.html

post-feature-image

Mapigano makali yaibuka nchini Sudani......!!!!


TANGAZA NASISI KWA BEI NAFUU NA UPATE MATOKEO MAZURI KATIKA BIASHARA YAKO.

Image caption Sudan Kusini Mapigano makali yameripotiwa katika mji mkuu wa Sudan Kusini Juba. Mapigano hayo yameripotiwa katika maeneo...

BREAKING NEWS;WATANO WAHOFIWA KUFA KWA KUFUKIWA NA KIFUSI CHA MORAMU ,ENEO LA MURIET
BREAKING: NECTA WANATANGAZAMATOKEO YA KIDATO CHA NNE 2017 NA 10 BORA
Kesi ya Tundu Lissu rasmi February


Image captionSudan Kusini
Mapigano makali yameripotiwa katika mji mkuu wa Sudan Kusini Juba.
Mapigano hayo yameripotiwa katika maeneo tofauti lakini haijabainika ni nani anayetekeleza mashambulio.
Image copyrightREUTERS
Image captionSudan Kusini
Tayari rais wa Sudan Kusini Salva Kiir amewaagiza raia kuwa watulivu huku ufyatulianaji risasi ukiendelea katika mji huo mkuu, kulingana na chombo cha habari cha reuters.
Siku ya Alhamisi wanajeshi watano waliuawa na wapiganaji walio watiifu kwa makamu wa rais Riek Machar.
Image copyrightREUTERS
Image captionSudan Kusini
Kuna serikali ya umoja baada ya kukamilika kwa vita vya wenyewe kwa wenyewe vilivyochukua miaka miwili.

Name

BIASHARA NA UCHUMI BREAKING NEWS BURUDANI ENGLISH NEWS GOSIIP GOSPEL HABARI HABARI PICHA MAGAZETI MAKALA MATUKIO MICHEZO MUSIC VIDEO WAZO LANGU
false
ltr
item
WEPESI MEDIA : Mapigano makali yaibuka nchini Sudani......!!!!
Mapigano makali yaibuka nchini Sudani......!!!!
http://ichef-1.bbci.co.uk/news/ws/660/amz/worldservice/live/assets/images/2015/08/17/150817154145_south_sudan_512x288_bbc_nocredit.jpg
WEPESI MEDIA
https://wepesimedia.blogspot.com/2016/07/mapigano-makali-yaibuka-nchini-sudani.html
https://wepesimedia.blogspot.com/
http://wepesimedia.blogspot.com/
http://wepesimedia.blogspot.com/2016/07/mapigano-makali-yaibuka-nchini-sudani.html
true
925270315725722404
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All

USIPITWE NA HIZI HAPA CHINI LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy