http://wepesimedia.blogspot.com/p/blog-page.html

Godbless Lema awashangaa wanaomdhihaki baada ya kumpongeza Nyalandu kufuatia kuwasaidia majeruhi wa ajali ya basi la Lucky Vicent.

Mbunge wa Arusha Mjini, Godbless Lema amewashangaa wanaomdhihaki na kumshambulia kwa maneno makali mara baada ya kumpongeza mbunge wa Sin...


Mbunge wa Arusha Mjini, Godbless Lema amewashangaa wanaomdhihaki na kumshambulia kwa maneno makali mara baada ya kumpongeza mbunge wa Singida Kaskazini Lazaro Nyalandu kufuatia kuwasaidia majeruhi wa ajali ya basi la Lucky Vicent.


Amesema kuwa kwa hapa nchini kuwa mpinzani wa siasa za bongo ni kazi ngumu sana, hivyo inahitaji kuwa na ujasiri wa kuweza kupambana ili uweze kushindana na kila anayekushambulia hata kwa lile jema unalolifanya.


Baada ya Mbunge Godbless Lema (Chadema) kumshukuru Mbunge wa Singida Kaskazini (CCM) Lazaro Nyalandu kuna kundi la watu liliibuka na kuanza kutoa maneno ya dhihaka kwa Lema huku wengine wakipongeza na kusema ni jambo la kheri kwa mbunge huyo kutambua kazi iliyofanywa na Nyalandu, lakini baada ya mijadala hiyo kuzidi kuwa mikuba Lema aliibuka na kutoa kauli hii kuwajibu waliokuwa wakimdhihaki.


“Kuwa mpinzani wa siasa Tanzania ni kazi ngumu sana, ila hatukati tamaa kwa sababu upendo wetu ni mkuu kuliko dhihaka. Mungu awabariki” aliandika Godbless Lema

COMMENTS


TANGAZA NASISI KWA BEI NAFUU NA UPATE MATOKEO MAZURI KATIKA BIASHARA YAKO.

MAGAZETI$type=sticky$count=4


Name

BIASHARA NA UCHUMI BREAKING NEWS BURUDANI ENGLISH NEWS GOSIIP GOSPEL HABARI HABARI PICHA MAGAZETI MAKALA MATUKIO MICHEZO MUSIC VIDEO WAZO LANGU
false
ltr
item
WEPESI MEDIA : Godbless Lema awashangaa wanaomdhihaki baada ya kumpongeza Nyalandu kufuatia kuwasaidia majeruhi wa ajali ya basi la Lucky Vicent.
Godbless Lema awashangaa wanaomdhihaki baada ya kumpongeza Nyalandu kufuatia kuwasaidia majeruhi wa ajali ya basi la Lucky Vicent.
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjYrXw5K7P1S1NjxjvIh2Q3X-An_NxNHpq8zEu-sjB-_PF8mXf7ME2-HwxOs0EZZtPmZ-PPlKhETBeImxe0NjlakPnCqem6H34fFgEovCR_olSpA4uSf90oOCCd-YwTyR5Zs4Oge5WTlRmq/s1600/1.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjYrXw5K7P1S1NjxjvIh2Q3X-An_NxNHpq8zEu-sjB-_PF8mXf7ME2-HwxOs0EZZtPmZ-PPlKhETBeImxe0NjlakPnCqem6H34fFgEovCR_olSpA4uSf90oOCCd-YwTyR5Zs4Oge5WTlRmq/s72-c/1.jpg
WEPESI MEDIA
https://wepesimedia.blogspot.com/2017/05/godbless-lema-awashangaa-wanaomdhihaki.html
https://wepesimedia.blogspot.com/
http://wepesimedia.blogspot.com/
http://wepesimedia.blogspot.com/2017/05/godbless-lema-awashangaa-wanaomdhihaki.html
true
925270315725722404
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All

USIPITWE NA HIZI HAPA CHINI LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy