http://wepesimedia.blogspot.com/p/blog-page.html

post-feature-image

Majambazi Yateka Kijiji Kwa Masaa Matatu Mkoani Kagera


TANGAZA NASISI KWA BEI NAFUU NA UPATE MATOKEO MAZURI KATIKA BIASHARA YAKO.

MAJAMBAZI wanne wamevamia kijiji cha Benaco kilichopo katika Wilaya ya Ngara mkoani Kagera kwa muda wa saa tatu ambapo wamefanikiwa ku...

WAZIRI MAKAMBA ASHIRIKI ZOEZI LA UPANDAJI WA MITI – IRINGA
Kamati ya Bunge Yakataa faini ya 500,000/- Kwa Kila Kosa Barabarani
Waziri Mkuu Amsimamisha Kazi Mhandisi Wa Maji Lindi


MAJAMBAZI wanne wamevamia kijiji cha Benaco kilichopo katika Wilaya ya Ngara mkoani Kagera kwa muda wa saa tatu ambapo wamefanikiwa kupora Sh milioni 2.4 na simu ambazo hazikujulikana idadi yake kwa mfanyabiashara mmoja wa huduma ya M-Pesa.

Kaimu kamanda wa polisi mkoa wa Kagera ambaye pia ni ofisa upelelezi wa polisi mkoa huo, Abel Mtagwa, alisema kuwa tukio hilo lilitokea usiku wa kuamkia jana ambapo majambazi hao walikuwa na silaha moja ya kivita aina ya SMG.

Alisema kuwa wakati majambazi wakijiandaa kuondoka eneo hilo walimpiga risasi mwanafunzi wa kidato cha pili katika shule ya sekondari ya Gankabo Wilayani Kibondo mkoani Kigoma aliyetambuliwa kwa jina la Nelson Simon (15) na kumjeruhi mguu wake wa kulia. Mwanafunzi huo amelazwa katika hospitali teule ya Murgwanza iliyopo wilayani humo.




credity.................................................mpekuzi

Name

BIASHARA NA UCHUMI BREAKING NEWS BURUDANI ENGLISH NEWS GOSIIP GOSPEL HABARI HABARI PICHA MAGAZETI MAKALA MATUKIO MICHEZO MUSIC VIDEO WAZO LANGU
false
ltr
item
WEPESI MEDIA : Majambazi Yateka Kijiji Kwa Masaa Matatu Mkoani Kagera
Majambazi Yateka Kijiji Kwa Masaa Matatu Mkoani Kagera
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEh8ZSNLPfew8cS9EWDIzyKQsas-wlk0bYTNoshjkbcIX6P7l6QtM4RecQlgn-SYBXnGfQFFJxSvWK5CjQUd0uQVuvvSJV3WYstcxbaQH8YPbfNNlVHGlucOVF9PoVwN6QTMMzJps09DgeU/s640/1.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEh8ZSNLPfew8cS9EWDIzyKQsas-wlk0bYTNoshjkbcIX6P7l6QtM4RecQlgn-SYBXnGfQFFJxSvWK5CjQUd0uQVuvvSJV3WYstcxbaQH8YPbfNNlVHGlucOVF9PoVwN6QTMMzJps09DgeU/s72-c/1.jpg
WEPESI MEDIA
https://wepesimedia.blogspot.com/2016/07/majambazi-yateka-kijiji-kwa-masaa.html
https://wepesimedia.blogspot.com/
http://wepesimedia.blogspot.com/
http://wepesimedia.blogspot.com/2016/07/majambazi-yateka-kijiji-kwa-masaa.html
true
925270315725722404
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All

USIPITWE NA HIZI HAPA CHINI LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy