http://wepesimedia.blogspot.com/p/blog-page.html

post-feature-image

VIDEO YA SNURA AKIWAOMBA WATANZANIA RADHI KWA KUWADHALILISHA WANAWAKE KUPITIA NYIMBO YAKE.. 'CHURA'


TANGAZA NASISI KWA BEI NAFUU NA UPATE MATOKEO MAZURI KATIKA BIASHARA YAKO.

Snura amewaomba radhi watanzania kwa video ya wimbo wake ‘Chura’ inayowadhalilisha wanawake na iliyo kinyume na maadili. Muimbaji huyo am...

Watoto Sita Wafa Katika Ajali ya Gari
Vilio Vyatawala Bungeni....Bunge Laahirishwa Hadi Kesho
Rais Na Mwenyekiti Wa CCM Dr Magufuli Aongonza Mkutano Wa Halmashauri Kuu Ya Taifa (NEC) Ya CCM Jijini Dar Es Salaam Leo

Snura amewaomba radhi watanzania kwa video ya wimbo wake ‘Chura’ inayowadhalilisha wanawake na iliyo kinyume na maadili. Muimbaji huyo amekutana na waandishi wa habari Alhamis hii kwenye ukumbi wa Habari Maelezo jijini Dar es Salaam.


Jana video na wimbo huo vilifungiwa na wizara ya habari, utamaduni, sanaa na michezo kwa madai kuwa inakiuka maadili ya Kitanzania. Pia alizuiwa kufanya maonyesho ya hadhara kwakuwa hajajisajili kwenye baraza la sanaa la taifa, BASATA.


Kwenye mkutano huo na waandishi wa habari, Snura amedai kuwa tayari amekamilisha mchakato wa usajili na BASATA imempa kibali. Pia amedai kuwa amewasilisha video mpya ya wimbo huo kwa bodi ya filamu ya Tanzania ambayo itaikagua.

Name

BIASHARA NA UCHUMI BREAKING NEWS BURUDANI ENGLISH NEWS GOSIIP GOSPEL HABARI HABARI PICHA MAGAZETI MAKALA MATUKIO MICHEZO MUSIC VIDEO WAZO LANGU
false
ltr
item
WEPESI MEDIA : VIDEO YA SNURA AKIWAOMBA WATANZANIA RADHI KWA KUWADHALILISHA WANAWAKE KUPITIA NYIMBO YAKE.. 'CHURA'
VIDEO YA SNURA AKIWAOMBA WATANZANIA RADHI KWA KUWADHALILISHA WANAWAKE KUPITIA NYIMBO YAKE.. 'CHURA'
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjpftOVAXI50RrpAqO6Bc3F2hY3vQZ8bKtdFGzDFPxSTKrjwk0uUtyERdkgefjoL11flFrA7oNo5gLPnZp-fV3EAKvyoGfF_z5w3PLwzg7XzBRo3WfoH6r6SAozxy5OrX6rDY2pg4pfnkk/s640/snuramushi.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjpftOVAXI50RrpAqO6Bc3F2hY3vQZ8bKtdFGzDFPxSTKrjwk0uUtyERdkgefjoL11flFrA7oNo5gLPnZp-fV3EAKvyoGfF_z5w3PLwzg7XzBRo3WfoH6r6SAozxy5OrX6rDY2pg4pfnkk/s72-c/snuramushi.jpg
WEPESI MEDIA
https://wepesimedia.blogspot.com/2016/05/video-ya-snura-akiwaomba-watanzania.html
https://wepesimedia.blogspot.com/
http://wepesimedia.blogspot.com/
http://wepesimedia.blogspot.com/2016/05/video-ya-snura-akiwaomba-watanzania.html
true
925270315725722404
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All

USIPITWE NA HIZI HAPA CHINI LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy