Mwonekano wa gari lililopinduka. WATOTO sita wamefariki dunia leo na watatu kujeruhiwa vibaya baada ya gari lililokuwa limebeba majani ...
Mwonekano wa gari lililopinduka.
Majeruhi wamepelekwa hospitali ya Korogwe.

Miili ya watoto waliofariki katika ajali hiyo.