http://wepesimedia.blogspot.com/p/blog-page.html

post-feature-image

MARAIS DUNIANI WAVUTIWA NA VITA YA UFISADI TANZANIA


TANGAZA NASISI KWA BEI NAFUU NA UPATE MATOKEO MAZURI KATIKA BIASHARA YAKO.

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Waziri wa Nchi anayeshughulikia Ushirikiano wa Kimataifa wa Uingereza, Justine Greening kat...

Manusura wa ajali ya Luck Vicent kutoa ushahidi mahakamani, Boss asomewa mashtaka manne
#VIDEO: Dereva wa Lissu Matatani aamriwa asakwe.
VIDEO:KAULI YA FREEMAN MBOWE KUHUSU HALI YA TUNDU LISSU KWA SASA

WAZIRI Mkuu, Kassim Majaliwa amesema viongozi wakuu wa nchi na washiriki wa Mkutano wa Kimataifa wa Kupambana na Rushwa, wamevutiwa na jitihada ambazo Tanzania imezichukua kukabiliana na janga hilo.

Alitoa kauli hiyo jana wakati akitoa ufafanuzi kuhusu ushiriki wake kwenye mkutano wa siku moja wa wakuu wa nchi, ulioitishwakujadili suala la kupambana na rushwa duniani uliofanyika Lancaster House, jijini London, Uingereza.

Waziri Mkuu alisema katika kikao cha kwanza, kilichohudhuriwa na wakuu wa nchi na viongozi wa kitaifa wapatao 20, alipata fursa ya kuelezea jinsi Tanzania ilivyoweza kupambana na rushwa kwa kuzingatia vigezo vikuu vinne.

Waziri Mkuu alivitaja vigezo hivyo kuwa ni kufanya marekebisho ya baadhi ya sheria zinazohusu masuala ya rushwa; uanzishwaji wa mahakama maalum ya mafisadi ambayo inatarajiwa kuanza kazi Julai, mwaka huu; mikakati ya udhibiti wa fedha za miradi ya wananchi na utaratibu wa kubaini wala rushwa kwa kushirikisha jamii ikiwemo kutunza siri za watoa taarifa.

“Ziko sheria ambazo zinafanyiwa kazi hivi sasa ambazo ni lazima zipitishwe na Baraza la Mawaziri kabla mahakama hii haijaanzishwa, zikishapitishwa na Baraza ndipo zitaanza kutumika,” alisema.

Akifafanua kuhusu mikakati ya udhibiti wa fedha za miradi ya maendeleo, Waziri Mkuu alisema kwamba katika bajeti ya mwaka huu, Serikali imeongeza kiasi cha fedha zilizotengwa kwa shughuli za maendeleo kutoka asilimia 27 hadi kufikia asilimia 40.

Waziri Mkuu alisema alipata fursa ya kukutana na Waziri Mkuu wa Uingereza, David Cameron ambaye mbali na kupongeza juhudi za Serikali ya Rais John Magufuli katika kupambana na rushwa, pia aliahidi kutoa mwaliko ili Tanzania iweze kushiriki kwenye mkutano mwingine wa masuala ya rushwa utakaofanyika Japan, Julai mwaka huu.

Name

BIASHARA NA UCHUMI BREAKING NEWS BURUDANI ENGLISH NEWS GOSIIP GOSPEL HABARI HABARI PICHA MAGAZETI MAKALA MATUKIO MICHEZO MUSIC VIDEO WAZO LANGU
false
ltr
item
WEPESI MEDIA : MARAIS DUNIANI WAVUTIWA NA VITA YA UFISADI TANZANIA
MARAIS DUNIANI WAVUTIWA NA VITA YA UFISADI TANZANIA
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEh8jBoJ4m_PYl0Hly2-nNj-51kaT4T8XyXk8PqI-AwTwn70keKZe0gX1zmh32s_RuN2pu3SyKf8bpkTYF3uFMEaykjKXeKPhD9gyrvVjcbmvQBvLcS7eB6WcOOWdPleR6B-32PVD9efqA9M/s400/majaliwa-england_210_120.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEh8jBoJ4m_PYl0Hly2-nNj-51kaT4T8XyXk8PqI-AwTwn70keKZe0gX1zmh32s_RuN2pu3SyKf8bpkTYF3uFMEaykjKXeKPhD9gyrvVjcbmvQBvLcS7eB6WcOOWdPleR6B-32PVD9efqA9M/s72-c/majaliwa-england_210_120.jpg
WEPESI MEDIA
https://wepesimedia.blogspot.com/2016/05/marais-duniani-wavutiwa-na-ya-ufisadi.html
https://wepesimedia.blogspot.com/
http://wepesimedia.blogspot.com/
http://wepesimedia.blogspot.com/2016/05/marais-duniani-wavutiwa-na-ya-ufisadi.html
true
925270315725722404
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All

USIPITWE NA HIZI HAPA CHINI LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy