http://wepesimedia.blogspot.com/p/blog-page.html

post-feature-image

Mambosasa Amvaa Dk. Shika ni kuhusu mabilioni Yake


TANGAZA NASISI KWA BEI NAFUU NA UPATE MATOKEO MAZURI KATIKA BIASHARA YAKO.

Kamanda wa polisi kanda maalum ya Dar es salaam Lazaro Mambosasa amesema swala la Dk. shika kuingiza pesa zake Tanzania hana uhakika nalo na...

Mpinzani Wa Kagame, Diane Rwigara Apotea Rwanda
Mitihani ya taifa Wizara ya Afya Yaahirishwa
TUNDU LISSU AIKWEPA TWEET ILIYOMPONDA DIAMOND NA KUNDI LAKE


Kamanda wa polisi kanda maalum ya Dar es salaam Lazaro Mambosasa amesema swala la Dk. shika kuingiza pesa zake Tanzania hana uhakika nalo na mtu kutumiwa hela kihalali si kosa ameongezea kuwa kama taarifa hizo ni z uongo anawezwa kupuuuzwa ila endapo kauli yake italeta madhara basi hatua zitachukuliwa.


Mambosasa amezungumza hayo leo pindi alipokuwa anaongea na waandishi wa habari akitoa ripoti za jeshi la polisi kuwashikilia watuhumiwa mbambali kwa kufanya makosa ya unyang’anyi kwa kutumia silaha za moto.

”Mtu kutumiwa hela kama ni halali aziingii kwenye pesa ambazo zinatakatishwa au hela ambazo zinapatikana kwa njia isiyo halali si kosa lakini kama ni muongo tu anajisema basi kuna mawili anaweza kupuuzwa lakini kama kauli zake zitamwaathiri yeyote anaweza kuja kulalamika na jeshi la polisi likachukua hatua” amesema Mambosasa.


Mambosasa amezungumza hayo pindi alipokuwa anajibu swali la mmoja wa waandishi wa habari baada ya kuhoji juu ya uhalali wa pesa za Dk. Luis Shika Kid ambaye hivi karibuni taarifa zimeeleza tayari ameingiza mabilioni yake ya fedha nchini Tanzania.

Aidha siku chache zilizopita Dkt. Louis Shika alivieleza baadhi ya vyombo vya habari nchini juu ya ujio wa fedha zake na baadhi ya vipande vya dhahabu zilizokuwa nje ya nchi kuwa tayari zimewasili nchini kupitia Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere (JKNIA) na kupelekwa Benki Kuu ya Tanzania (BOT) kwa ajili ya kuhakikiwa.

Taarifa ambayo ilizua mjadala mkubwa mtandaoni ambapo watu wakionesha kutokuamini kwa ujio huo wa Dk. Shika wakidhani ni stori zisizo na ukweli ndani yake.

Hata hivyo Shika alithibitisha ujio wa mali hizo na kuonyesha baadhi ya nyaraka zinazothibitisha umiliki wa mali hizo.




Name

BIASHARA NA UCHUMI BREAKING NEWS BURUDANI ENGLISH NEWS GOSIIP GOSPEL HABARI HABARI PICHA MAGAZETI MAKALA MATUKIO MICHEZO MUSIC VIDEO WAZO LANGU
false
ltr
item
WEPESI MEDIA : Mambosasa Amvaa Dk. Shika ni kuhusu mabilioni Yake
Mambosasa Amvaa Dk. Shika ni kuhusu mabilioni Yake
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEirV7lZz7uV-OeJGRrNxq9AF42uJ2oopfic0gSLY44kRvg-N2nHhgG3Q13xSnNOv7X8do7-hMtFJBpdEiuAOoKn3tVFeQ4EPg9yu-gAeXRwSxWSl6EOrx0C5lRRZoT7T9lSkJ80TSwz4GLA/s640/DK-SHIKA-27-Copy.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEirV7lZz7uV-OeJGRrNxq9AF42uJ2oopfic0gSLY44kRvg-N2nHhgG3Q13xSnNOv7X8do7-hMtFJBpdEiuAOoKn3tVFeQ4EPg9yu-gAeXRwSxWSl6EOrx0C5lRRZoT7T9lSkJ80TSwz4GLA/s72-c/DK-SHIKA-27-Copy.jpg
WEPESI MEDIA
https://wepesimedia.blogspot.com/2018/05/mambosasa-amvaa-dk-shika-ni-kuhusu.html
https://wepesimedia.blogspot.com/
http://wepesimedia.blogspot.com/
http://wepesimedia.blogspot.com/2018/05/mambosasa-amvaa-dk-shika-ni-kuhusu.html
true
925270315725722404
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All

USIPITWE NA HIZI HAPA CHINI LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy