http://wepesimedia.blogspot.com/p/blog-page.html

post-feature-image

Adhabu: Halima Mdee na Esther Bulaya Wapigwa Marufuku Kuhudhuria Bunge Hadi mkutano ujao wa Bunge la Bajeti ya 2018/19


TANGAZA NASISI KWA BEI NAFUU NA UPATE MATOKEO MAZURI KATIKA BIASHARA YAKO.

Halima Mdee na Esther Bulaya wamehukumiwa kutohudhuria vikao vyote vya bunge linaloendelea mpaka mkutano ujao wa Bunge la Bajeti ya 2018...

MKUU WA WILAYA YA MANYONI AWASIMAMISHA KAZI WATUMISHI WATANO KWA UZEMBE
WATATU WASHIKILIWA NA JESHI LA POLISI ARUSHA KWA K0SA LA KUGHUSHI NYARAKA ZA SERIKALI.
Chadema Waahirisha Tena Maandamano ya Oparesheni UKUTA....


Halima Mdee na Esther Bulaya wamehukumiwa kutohudhuria vikao vyote vya bunge linaloendelea mpaka mkutano ujao wa Bunge la Bajeti ya 2018/19.

Hukumu hiyo imeungwa mkono na wabunge wengi waliopitisha azimio hilo.

Mapema leo, Jumatatu Kamati ya Maadili ilisema Bulaya na Mdee wamemaliza adhabu za kawaida zilizopo kwenye kanuni za bunge.

Hata hivyo, Bunge liliendelea kujadili makosa ya wabunge hao wa Bunda na Kawe.

Mwenyekiti wa kamati hiyo, George Mkuchika aliliomba Bunge kujadili adhabu inayostahili kulingana na makosa yao.

Kanuni inasema, mbunge anayefanya kosa la kwanza anaweza akazuiwa kuhudhuria vikao visivyozidi 10 na atayakosea kwa mara ya pili anaweza kuzuiwa kuhudhuria vikao visivyozidi 20.

Name

BIASHARA NA UCHUMI BREAKING NEWS BURUDANI ENGLISH NEWS GOSIIP GOSPEL HABARI HABARI PICHA MAGAZETI MAKALA MATUKIO MICHEZO MUSIC VIDEO WAZO LANGU
false
ltr
item
WEPESI MEDIA : Adhabu: Halima Mdee na Esther Bulaya Wapigwa Marufuku Kuhudhuria Bunge Hadi mkutano ujao wa Bunge la Bajeti ya 2018/19
Adhabu: Halima Mdee na Esther Bulaya Wapigwa Marufuku Kuhudhuria Bunge Hadi mkutano ujao wa Bunge la Bajeti ya 2018/19
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgc4Oux2Al39GnjuIFhoRILx6mwBHoyoiFJBQLrWZK5T6jmAbRascr4uFZjKB1bhVOROkLEYuaoXHY6aV4SQBtDuamQKiYUr6nQVUlGDK7sN1ghQKe5Bshm-p8KmJ3nEQuZiHCw_g-Zi0Nk/s1600/1.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgc4Oux2Al39GnjuIFhoRILx6mwBHoyoiFJBQLrWZK5T6jmAbRascr4uFZjKB1bhVOROkLEYuaoXHY6aV4SQBtDuamQKiYUr6nQVUlGDK7sN1ghQKe5Bshm-p8KmJ3nEQuZiHCw_g-Zi0Nk/s72-c/1.jpg
WEPESI MEDIA
https://wepesimedia.blogspot.com/2017/06/adhabu-halima-mdee-na-esther-bulaya.html
https://wepesimedia.blogspot.com/
http://wepesimedia.blogspot.com/
http://wepesimedia.blogspot.com/2017/06/adhabu-halima-mdee-na-esther-bulaya.html
true
925270315725722404
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All

USIPITWE NA HIZI HAPA CHINI LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy