http://wepesimedia.blogspot.com/p/blog-page.html

post-feature-image

Tundu Lissu afikishwa mahakamani ......Asomewa mashitaka Matano na Kuachiwa Kwa Dhamana


TANGAZA NASISI KWA BEI NAFUU NA UPATE MATOKEO MAZURI KATIKA BIASHARA YAKO.

Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imemuachia kwa dhamana Mbunge Tundu Lissu aliyefikishwa mahakamani hapo na kusomewa mashtaka matano. Li...

Rais MagufuliJP amteua Prof. Lawrence Mujungu Museru kuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Hospitali ya Taifa ya Muhimbili.
WAZIRI MKUU AKAGUA MAENEO YA UJENZI DODOMA
Rais Magufuli Akutana Na Makamu Wa Rais Wa Jamhuri Ya Cuba, Ikulu Jijini Dar Leo

Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imemuachia kwa dhamana Mbunge Tundu Lissu aliyefikishwa mahakamani hapo na kusomewa mashtaka matano.

Lissu amesomewa Mashitaka matano(5) ambayo ni yale yale aliyofutiwa hapo awali kuhusu maneno ya Uchochezi kwenye Uchaguzi wa Dimani,Zanzibar.

Serikali imesema upelelezi umekamilika na ikaomba kesi ianze kusikilizwa leo.Lissu aliiomba mahakama isisikilize kesi hii leo ili akashiriki Uchaguzi wa TLS utakaofanyika kesho mkoani Arusha.

Mahakama imekubali maombi ya Tundu Lissu na kumwachia huru kwa dhamana ya milioni 10 ambapo tayari amekwishapanda ndege kuelekea jijini Arusha Kushiriki Uchaguzi huo

Name

BIASHARA NA UCHUMI BREAKING NEWS BURUDANI ENGLISH NEWS GOSIIP GOSPEL HABARI HABARI PICHA MAGAZETI MAKALA MATUKIO MICHEZO MUSIC VIDEO WAZO LANGU
false
ltr
item
WEPESI MEDIA : Tundu Lissu afikishwa mahakamani ......Asomewa mashitaka Matano na Kuachiwa Kwa Dhamana
Tundu Lissu afikishwa mahakamani ......Asomewa mashitaka Matano na Kuachiwa Kwa Dhamana
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEg_kubj6L7_BV2HqbrdVfJrdgP-RC_Ts86rVAWDjdXQfdFff2R4OZ03Xnl1Hj5P7y4gTrsNXXuyG5TSl0JAjt3TRkBEQ9Hi9sfp85E_I5WQpTIlheDm3WHZiMiUFpGWuqN2j6Dr-3t8eGyV/s1600/1.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEg_kubj6L7_BV2HqbrdVfJrdgP-RC_Ts86rVAWDjdXQfdFff2R4OZ03Xnl1Hj5P7y4gTrsNXXuyG5TSl0JAjt3TRkBEQ9Hi9sfp85E_I5WQpTIlheDm3WHZiMiUFpGWuqN2j6Dr-3t8eGyV/s72-c/1.jpg
WEPESI MEDIA
https://wepesimedia.blogspot.com/2017/03/tundu-lissu-afikishwa-mahakamani.html
https://wepesimedia.blogspot.com/
http://wepesimedia.blogspot.com/
http://wepesimedia.blogspot.com/2017/03/tundu-lissu-afikishwa-mahakamani.html
true
925270315725722404
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All

USIPITWE NA HIZI HAPA CHINI LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy