http://wepesimedia.blogspot.com/p/blog-page.html

post-feature-image

Hatimaye Dk Mwaka ajisalimisha Polisi


TANGAZA NASISI KWA BEI NAFUU NA UPATE MATOKEO MAZURI KATIKA BIASHARA YAKO.

Siku chache baada ya Polisi wa Dar es Salaam kutangaza kumsaka mmiliki wa iliyokuwa kliniki ya tiba asilia ya Foreplan, Juma Mwaka ‘Dk...

AJALI:Watu kumi na tatu (13) wapoteza maisha na wengine 8 kujeruhiwa.
BREAKING NEWS:SERIKALI YAWAANDIKIA BARUA YA KUJIELEZA WAMILIKI WA GAZETI LA MWANAHALISI
Polisi yatoa ufafanuzi wa mabomu yaliyoua Arusha

Siku chache baada ya Polisi wa Dar es Salaam kutangaza kumsaka mmiliki wa iliyokuwa kliniki ya tiba asilia ya Foreplan, Juma Mwaka ‘Dk Mwaka’ kwa agizo la Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dk Hamis Kigwangallah, tabibu huyo ameamua kujisalimisha polisi.

Dk Kiwangallah alitoa agizo hilo siku sita zilizopita baada ya kutembelea kliniki hiyo kwa mara ya pili. Dk Mwaka alijisalimisha jana saa nne asubuhi katika Kituo cha Kikuu cha Polisi, jijini Dar es Salaam na kuhojiwa kwa saa kadhaa kabla ya kuachiwa kwa dhamana. 

Msako wa Dk Mwaka unachagizwa na madai ya ukiukwaji wa agizo la Serikali la kuendelea na utoaji wa tiba licha ya kufungiwa. 

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kipolisi wa Ilala, Salum Hamdani alisema jana kuwa baada ya kujisalimisha muda huo, alihojiwa na kuachiwa kwa dhamana lakini akatakiwa kuripoti leo kwa mahojiano zaidi. 

“Kuhusu kupelekwa mahakamani, ni mpaka jeshi la Polisi litakapomaliza kukusanya ushahidi na kumkabidhi DPP ambaye atautumia kufungua kesi,” alisema.

Name

BIASHARA NA UCHUMI BREAKING NEWS BURUDANI ENGLISH NEWS GOSIIP GOSPEL HABARI HABARI PICHA MAGAZETI MAKALA MATUKIO MICHEZO MUSIC VIDEO WAZO LANGU
false
ltr
item
WEPESI MEDIA : Hatimaye Dk Mwaka ajisalimisha Polisi
Hatimaye Dk Mwaka ajisalimisha Polisi
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhkBHnINXu2Pxu08DgsXVKyXRLLNEqsOczkywuQN7Eqkkf9WDssroIw39StVjPcL3PtfUmTerxjHaBQMCLhe7gQ47IU22PEW9xMYcy89PK3E_Poi8L1oWzCZ1sRFTWqyi5l_I8CShITV9I/s1600/1.JPG
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhkBHnINXu2Pxu08DgsXVKyXRLLNEqsOczkywuQN7Eqkkf9WDssroIw39StVjPcL3PtfUmTerxjHaBQMCLhe7gQ47IU22PEW9xMYcy89PK3E_Poi8L1oWzCZ1sRFTWqyi5l_I8CShITV9I/s72-c/1.JPG
WEPESI MEDIA
https://wepesimedia.blogspot.com/2016/08/hatimaye-dk-mwaka-ajisalimisha-polisi.html
https://wepesimedia.blogspot.com/
http://wepesimedia.blogspot.com/
http://wepesimedia.blogspot.com/2016/08/hatimaye-dk-mwaka-ajisalimisha-polisi.html
true
925270315725722404
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All

USIPITWE NA HIZI HAPA CHINI LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy