http://wepesimedia.blogspot.com/p/blog-page.html

post-feature-image

VIDEO: Mahakama ya Tanzania yaidhinisha umri halisi wa kuolewa kwa mtoto wa kike.


TANGAZA NASISI KWA BEI NAFUU NA UPATE MATOKEO MAZURI KATIKA BIASHARA YAKO.

Image caption Wasichana wamejikuta wakipata madhara ya ndoa za utotoni na kuhatarisha maisha yao Mahakama kuu nchini Tanzania le...

Matokeo:CCM Inaongoza Siha
TAZAMA MATOKEO YA UCHAGUZI KINONDONI KUTOKA VITUO MBALIMBALI
Kitakacho wakuta CUF wasimlaumu mtu- Kamanda Mambosasa




Image captionWasichana wamejikuta wakipata madhara ya ndoa za utotoni na kuhatarisha maisha yao

Mahakama kuu nchini Tanzania leo imeidhinisha umri halisi wa kuolewa kwa mtoto wa kike kuwa miaka 18. Wasichana wenye umri wa miaka 14 huolewa kwa ridhaa ya wazazi wao.
Mahakama kuu imetoa muda wa mwaka mmoja kuhakikisha kuwa Serikali inasahihisha sheria ya mwaka 1971 kifungu cha 13 kinachoruhusu Mtoto wa kike kuozwa akiwa na umri miaka 14
Wasichana wanaoolewa katika umri huu mara nyingi wanakabiliwa na unyanyasaji wa majumbani sambamba na kutengwa na jamii huku wakipewa nafasi ndogo kwa ajili ya elimu na ajira.
Huu ni ushindi mkubwa kwa wanaharakati wa Tanzania katika kupigania haki za watoto na sasa itakuwa rahisi kuwaokoa wasichana wanaoathirika na utamaduni wa kuozeshwa wakiwa wadogo.
Uamuzi huu umekuja wakati Bunge kupitisha sheria ya kifungo cha miaka 30 ama faini ya dola 2500 kwa mwanaume atayebainika kumuoa ama kumpa mimba mwanafunzi.Hata hivyo sheria hii inawatenga maelfu ya wasichana ambao si wanafunzi.

Name

BIASHARA NA UCHUMI BREAKING NEWS BURUDANI ENGLISH NEWS GOSIIP GOSPEL HABARI HABARI PICHA MAGAZETI MAKALA MATUKIO MICHEZO MUSIC VIDEO WAZO LANGU
false
ltr
item
WEPESI MEDIA : VIDEO: Mahakama ya Tanzania yaidhinisha umri halisi wa kuolewa kwa mtoto wa kike.
VIDEO: Mahakama ya Tanzania yaidhinisha umri halisi wa kuolewa kwa mtoto wa kike.
http://ichef-1.bbci.co.uk/news/ws/660/amz/worldservice/live/assets/images/2016/07/08/160708151214_tanzania_girlchildmarriage_640x360_bbc_nocredit.jpg
https://i.ytimg.com/vi/l_EpZfCBvM0/default.jpg
WEPESI MEDIA
https://wepesimedia.blogspot.com/2016/07/mahakama-ya-tanzania-yaidhinisha-umri.html
https://wepesimedia.blogspot.com/
http://wepesimedia.blogspot.com/
http://wepesimedia.blogspot.com/2016/07/mahakama-ya-tanzania-yaidhinisha-umri.html
true
925270315725722404
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All

USIPITWE NA HIZI HAPA CHINI LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy